Tafiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafiti

Discussion in 'Jamii Photos' started by KAKA A TAIFA, Aug 15, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  WENZETU WAZUNGU WANATUMIA MUDA NA PESA NYINGI KATIKA KUFANYA TAFITI AMBAZO NYIGI HUSAIDIA KATIKA MAMBO GUNDUZI MBALIMBALI[​IMG]
   
 2. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Bongo hata tufanye, nani atazisoma....
   
 3. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  sisi tumelala usingizi wa pono,klow kloo
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo penye RED, inaonyesha ulivyomvivu, watanzania wanaandika sana na wanasoma sana ila watekelezaji ndio wanamtindio wa mawazo.
   
 5. wende

  wende JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ..tafiti zinafanywa japo kwa personal interest but nani ana muda wa kuzisoma??? WaTZ wengi hatuna utamaduni wa kuzisoma tafiti za watalaam wetu!
   
Loading...