PHILIPP DONIE
Member
- Jul 2, 2013
- 61
- 15
TAFES_TANZANIA FELLOWSHIP OF EVANGELICAL STUDENTS.Ndo nini hii tafes?
Asante Japhet, ninawasiliana nawe.0762828494
TAFES_TANZANIA FELLOWSHIP OF EVANGELICAL STUDENTS.
ni faragha ya wanafunzi wakristo, tunaoishi pamoj ndani ya vhuo tukishirikiana katika mambo mbalimbali. Tunaabudu pamoja siku za wiki, tunasaidin ktika maisha wakti wote tukiwa chuoni. Tunaandaa matamasha ya gospel, music, chakula cha pamoja, nk.
Karibu sn Kirchhoff katika familia hii.
Nyie ndo wale mliokuwa mnasalia porini pale karibu na Taji cafeteria kipindi cha usiku...?! Nauliza tu.. !Je umechaguliwa Udom? Ama umeapply na bado unasubiri majibu? Wanafamilia wenzako tunapenda kukukaribisha uwe mmoja wetu.. Utaweza kupata taarifa na habari kuhusu mambo yote kuhusu chuo, na utakaporipoti tutaishi pamoja maisha safi na yakufurahisha.
We are Family through Christ.
We believe and trust God Almighty that our lives while at university should be nourished for the glory of his purpose.
We are family, welcome and join us.
Drop your number here and we will add you in our whatsapp group.
Or just text 0755566334
Share the news to anyone you know.
Ipo chini ya dhehebu gani la kikristo?TAFES_TANZANIA FELLOWSHIP OF EVANGELICAL STUDENTS.
ni faragha ya wanafunzi wakristo, tunaoishi pamoj ndani ya vhuo tukishirikiana katika mambo mbalimbali. Tunaabudu pamoja siku za wiki, tunasaidin ktika maisha wakti wote tukiwa chuoni. Tunaandaa matamasha ya gospel, music, chakula cha pamoja, nk.
Karibu sn Kirchhoff katika familia hii.
Hapana, sisi tunakuwa lr7 social.Nyie ndo wale mliokuwa mnasalia porini pale karibu na Taji cafeteria kipindi cha usiku...?! Nauliza tu.. !
Kirchhoff, We are interdenominational and nondenominational. Tunashirikiana na madhehebu yote pasipokufungwa na dhehebu lolote, tunajifunza kuishi maisha ya ukristo bila kutazama udhehebu.Ipo chini ya dhehebu gani la kikristo?
Bhachu, Huwa tuna ratiba, hivyo tukiwa pamoja chuoni pale utaweza kupata updtesTutakiwasha lini hiyo party?
Asee hongereni kwa kusalia daradani..... Mi nilikuwa nawaonea huruma sana mabwana wale... Kutokana na baridi ya Dodoma ya mwaka huu ilivyokuwa Kali... !!Hapana, sisi tunakuwa lr7 social.
Mushi, we really appreciate your concern kn joining our University. As soon when selected, tell us so we can make it together.wish I could be out there but haven't got the feedback from TCU..Kama nimekuwa selected UDOM Au laaah
nasubiri selection ya pili