Tafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na kama Mungu ndiye aliyeniumba, kwa nini tena aje kuniadhibu kwa kitu ambacho mazingira yangu ndiyo yamenilea kukiamini?
Je, haki ya Mungu ipo wapi kati ya kuzaliwa, mazingira, ukweli, na uchaguzi wa mwanadamu?❞
Je, binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua anachoamini?
Au mazingira ya kuzaliwa ndiyo yanaamua mengi?
Mungu anamhukumu mtu kwa alichojua au kwa alichokikuta?
Mungu ni mwenye rehema na haki, je, atawezaje kumuadhibu mtu ambaye tangu utoto wake alifundishwa “huu ndio ukweli”?
Wewe mwenye Elimu unajibu vipi haya maswali
Abuuabdillah ✍️
0744 883 353
Umejibu vyema kabisaKwa mujibu wa Uislamu, Qur'an inasisitiza kwamba Mwenyezi Mungu ni mwenye haki kamili na hamdhulumu mtu hata chembe.
Mwenyezi Mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyo..............” — Qur’an 2:286
Na pia:
Anayeongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anayepotea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatukuwa wenye kuadhibu mpaka tupeleke Mtume.” — Qur’an 17:15
Maana yake ni kwamba Mungu humhukumu mtu kwa:
kiwango cha ukweli kilichomfikia,
uwezo wake wa kutambua,
nia yake,
na juhudi yake ya kutafuta haki.
Ndiyo, mazingira yana athari kubwa sana kwa binadamu. Mtoto huzaliwa kwenye dini, lugha na tamaduni bila kuchagua. Ndiyo maana katika Uislamu kuna dhana ya fitrah — kwamba kila mtu huzaliwa na maumbile ya kumtambua Mungu, lakini mazingira humwelekeza upande fulani.
Binadamu ana uhuru wa kuchagua, lakini si uhuru usioathiriwa na mazingira. Kwa hiyo hukumu ya Mungu si ya kipofu; ni ya haki, elimu kamili na rehema.
Ndiyo maana Muislamu hawezi kusema kwa uhakika kwamba kila asiye Muislamu ataingia motoni moja kwa moja, kwa sababu hukumu ya mwisho ni ya Mwenyezi Mungu ambaye anajua kilichomfikia kila mtu na kilichokuwa moyoni mwake.
SahihiKwa mujibu wa Uislamu, Qur'an inasisitiza kwamba Mwenyezi Mungu ni mwenye haki kamili na hamdhulumu mtu hata chembe.
Mwenyezi Mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyo..............” — Qur’an 2:286
Na pia:
Anayeongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anayepotea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatukuwa wenye kuadhibu mpaka tupeleke Mtume.” — Qur’an 17:15
Maana yake ni kwamba Mungu humhukumu mtu kwa:
kiwango cha ukweli kilichomfikia,
uwezo wake wa kutambua,
nia yake,
na juhudi yake ya kutafuta haki.
Ndiyo, mazingira yana athari kubwa sana kwa binadamu. Mtoto huzaliwa kwenye dini, lugha na tamaduni bila kuchagua. Ndiyo maana katika Uislamu kuna dhana ya fitrah — kwamba kila mtu huzaliwa na maumbile ya kumtambua Mungu, lakini mazingira humwelekeza upande fulani.
Binadamu ana uhuru wa kuchagua, lakini si uhuru usioathiriwa na mazingira. Kwa hiyo hukumu ya Mungu si ya kipofu; ni ya haki, elimu kamili na rehema.
Ndiyo maana Muislamu hawezi kusema kwa uhakika kwamba kila asiye Muislamu ataingia motoni moja kwa moja, kwa sababu hukumu ya mwisho ni ya Mwenyezi Mungu ambaye anajua kilichomfikia kila mtu na kilichokuwa moyoni mwake.
Dini ni utapeli.
🚮Dini ni utapeli.
Hakuna Mungu.
Live your life to the fullest.
Habari za dini na Mungu ni hadithi za danganya toto!
Your emotions and feelings take them to your mother.
Kinachokupeleka mbinguni siyo dini.Tafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na kama Mungu ndiye aliyeniumba, kwa nini tena aje kuniadhibu kwa kitu ambacho mazingira yangu ndiyo yamenilea kukiamini?
Je, haki ya Mungu ipo wapi kati ya kuzaliwa, mazingira, ukweli, na uchaguzi wa mwanadamu?❞
Je, binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua anachoamini?
Au mazingira ya kuzaliwa ndiyo yanaamua mengi?
Mungu anamhukumu mtu kwa alichojua au kwa alichokikuta?
Mungu ni mwenye rehema na haki, je, atawezaje kumuadhibu mtu ambaye tangu utoto wake alifundishwa “huu ndio ukweli”?
Wewe mwenye Elimu unajibu vipi haya maswali
Abuuabdillah ✍️
0744 883 353
Na hayo matendo tunayashape vipi na kwa utaratibu gani kama sio kupitia miongozo ya hizohizo dini? Au yameandikwa wapi hayo tunayopaswa kuyaenendaKinachokupeleka mbinguni siyo dini.
Kinachokupeleka Mbinguni ni Moyo wako Thabiti pamoja na matendo yako.
Ndiyo mana nasema dini ni muongozo tu, lakini siyo kigezo cha kumfikisha mtu Mbinguni.Na hayo matendo tunayashape vipi na kwa utaratibu gani kama sio kupitia miongozo ya hizohizo dini? Au yameandikwa wapi hayo tunayopaswa kuyaenendaNa hayo matendo tunayashape vipi na kwa utaratibu gani kama sio kupitia miongozo ya hizohizo dini? Au yameandikwa wapi hayo tunayopaswa kuyaenenda
Hapa ndio wanapo chukua ushindi wa mezani
Dini ni utapeli.
Hakuna Mungu.
Live your life to the fullest.
Habari za dini na Mungu ni hadithi za danganya toto!
Ndiyo mana nasema dini ni muongozo tu, lakini siyo kigezo cha kumfikisha mtu Mbinguni.
Ushasema Mungu ni mwingi wa Rehema na mwenye Haki, so tuna uhakika hukumu yake itakuwa ya haki kabisa, hatuhitaji kuwa na wasiwasi kuwa kuna mtu ataonewa.
Kwanza wote tumetenda dhambi, hakuna mwenye haki hata mmoja! ! Tunategemea rehema tu za Mungu kuishi milele maana tayari tushakosa vigezo vya kuishi.
Haki tunahesabiwa kwa kutetewa na YESU. Ndiyo njia pekee MUNGU anatuhesabu kuwa wenye haki:
"Haki hii inayotoka kwa Mungu hupatikana kwa Yesu Kristo kwa wote wanaomwamini. Kwa maana hapo hakuna tofauti,
kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu"
Waroma.3.22-23.NENO2025
Kwa ambao hawajamsikia Yesu?
1) Kwanza je anamtambua Muumba wake moyoni mwake?
"Kwa maana yote yanayoweza kujulikana kumhusu Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu mwenyewe ameyadhihirisha kwao.
Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, uwezo wake wa milele na uungu wake, ingawa havionekani kwa macho, vinafahamika wazi. Watu wanaweza kuyajua mambo hayo kutokana na vitu hivyo alivyoumba Mungu. Kwa hiyo hawana njia yoyote ya kujitetea!"
Waroma.1.19-20.BHND
2) Pili anajitahidi kufanya yaliyo haki / mema kwa kadri ya ufahamu wake kama yule Jemedari wa kiroma Kornelio? Hadi Mungu akamtuma Petro kwake amuambie habari za Yesu. Mpaka hapo tunaona kufanya mema hakutoshi, Kornelio alipaswa kukiri imani juu ya YESU.
"Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.”
Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa Kiyahudi na alikuwa anasali daima."
Matendo.10.1-2.BHND
"Mathalani: Watu wa mataifa mengine hawana sheria; lakini kila wanapotimiza matakwa ya sheria wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha sheria ingawa hawaijui sheria.
Mwenendo wao unaonesha kwamba matakwa ya sheria yameandikwa mioyoni mwao. Dhamiri zao zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira zao mara nyingine huwashtaki, na mara nyingine huwatetea."
Waroma.2.14-15.BHND
3) Mwisho wa siku Mungu anawajua wateule wake tangu hata hajaumba. Yani alikaa akafikiri akawaona watu wake hawa ni wangu, kabla hata hajaumba
"Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake. Kwa upendo"
Waefeso.1.4.NENO2025
4) Na Mungu halazimishi anataka watu wanaomchagua kwa hiari. Kwahiyo wateule sio kama kawalazimisha.
"Mtu yeyote akipenda kufanya mapenzi ya Mungu, atajua kama mafundisho yangu yanatoka kwa Mungu au ninasema kwa ajili yangu mwenyewe."
Yohana.7.17.NENO2025
"Ndipo akawaita umati ule wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate."
Marko.8.34.NENO2025
5) Neema ya Mungu itawafikia wateule wake ambao huku tunaweza kuona hawafai / hawastahili, hata ambao hawakumsikia Yesu.
Na wengine Neema itawapita ingawa tunawaona ni watu "wazuri", hasa waliosikia kuhusu Yesu na wakamkataa. Ndiposa Rehema na Utukufu wa Mungu itakapodhihirishwa waziwazi kwa watakaookolewa
"Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!
Kwa maana Mungu alimwambia Musa, “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”
Kwa hiyo haitegemei kutaka kwa mwanadamu au jitihada, bali hutegemea huruma ya Mungu.
Iweje basi, kama Mungu kwa kutaka kuonesha ghadhabu yake na kufanya uweza wake ujulikane, amevumilia kwa uvumilivu mwingi vile vyombo vya ghadhabu vilivyoandaliwa kwa uharibifu?
Iweje basi, kama yeye alitenda hivi ili kufanya wingi wa utukufu wake ujulikane kwa vyombo vya rehema yake, alivyotangulia kuvitengeneza kwa ajili ya utukufu wake?
Hivi vyombo ni sisi, ambao pia alituita, sio kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu wa Mataifa."
Waroma.9.14-24.NENO
Tatizo lako ni kufikiri kuwa mtu anapozaliwa ndio mwanzo wake. Hizi roho zilikuwepo kabla ya huu ulimwengu mzee na hicho ulicho ndio sehemu ya ule wema au ubaya wako na ikitokea umevuka mpaka ukaenda kwingine au kuzaliwa kwingine lazima utaonyeshwa ukweli na utarud vivyo hivyo kwa ile roho iliyopotea ikijikuta sehem kwema itarud yenyewe sehem chafu. Isome biblia ujue ukweli mwingi uliojificha chief. Unavyoambiwa nalikujua kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu jiongezeTafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na kama Mungu ndiye aliyeniumba, kwa nini tena aje kuniadhibu kwa kitu ambacho mazingira yangu ndiyo yamenilea kukiamini?
Je, haki ya Mungu ipo wapi kati ya kuzaliwa, mazingira, ukweli, na uchaguzi wa mwanadamu?❞
Je, binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua anachoamini?
Au mazingira ya kuzaliwa ndiyo yanaamua mengi?
Mungu anamhukumu mtu kwa alichojua au kwa alichokikuta?
Mungu ni mwenye rehema na haki, je, atawezaje kumuadhibu mtu ambaye tangu utoto wake alifundishwa “huu ndio ukweli”?
Wewe mwenye Elimu unajibu vipi haya maswali
Abuuabdillah ✍️
0744 883 353
Ukishatenda matendo mema obvious unakuwa unamtii Mungu, vinabaki vipengele vingine vichache vya kufuatisha kwenye dini lakini hivyo binafsi naona kama ni ziada, ila msingi mkuu ni kuishi katika mema.Katika Uislamu, dini siyo muongozo tu, bali ndiyo njia aliyoweka Mwenyezi Mungu ya kumfikisha mtu Peponi. Qur'an inasema: ‘Hakika dini mbele ya Allah ni Uislamu’ (3:19).
Matendo mema ni muhimu, lakini lazima yaambatane na imani sahihi na kumtii Mwenyezi Mungu.