Tafakuri ya mwafrika

Tafakuri ya mwafrika

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
590
Reaction score
706
"Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga." Alloyce, P.R.
 
WACHAWI MNAANZA KUTOKA VICHAKANI.UMEELEWA MAANA NGUVU YA WA VIONGOZI WA DINI MBONA WAO WANATUMIA VIONGOZI WA DINI KUOMBA AMANI.
EMBU NENDA UKANYE PESA ZA WATU ALAFU KAJIFUNZE KULE GOMA ANACHOFANYA KJOSEPH KABILA.
 
Sio kila jambo linaweza kufikika kwa akili pekee; imani na maombi pia hutoa mwongozo, faraja, na hekima ambayo akili ya binadamu peke yake haiwezi kufikia.
 
"Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga." Alloyce, P.R.
Maombi yameanza kuwa mabaya kwa sababu tu watu wameambiwa waombe utekaji ukomeshwe? Kuomba ni njia moja ya kuamsha watu ili wawe na msimamo mmoja.
 
Huo ndio unafiki sasa, kujificha kwenye kivuli cha maombi, kujifanyisha mcha Mungu kumbe utapeli tu.
Tanzania kutumia njia ya maombi ili kuamsha hisia za watu ni muhimu sana. Naelewa sana concern yako lakini watanzania navyowajua ni lazima utumie akili kuwavuta karibu.
 
Tanzania kutumia njia ya maombi ili kuamsha hisia za watu ni muhimu sana. Naelewa sana concern yako lakini watanzania navyowajua ni lazima utumie akili kuwavuta karibu.
Sasa wanajua madhara ya kutumia nyumba za ibada kuchonganisha serikali na wananchi, na hiyo hujui pia itachochea uchonganishi baina ya dini na dini?
 
Aliyessma hivyo ni matakro, hii nchi mliwapa CCM ..Ujinga mkubwa wa mwafrika ni demokrasia.
 
Back
Top Bottom