Tafakuri ya maisha: Ungefanya nini ikiwa umetambua bado miezi sita kuishi?

mzawa098

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
253
208
Utafanya nini na maisha yako ikiwa umetambua kuwa umebakiza miezi sita kuishi duniani?

Zingatia: Bila kujali una hali gani kiuchumi
 
Nitafungulia zipu bila kuogopa ukimwi, nitaonja kila aina ya papuchi

hahaha mkuu kama nakuona vile umeunga foleni la kona bar unasikilizia huduma.... ila kuna kaswende kisonono na mabinamu zake wengine wengi usije malizia miezi sita yako kwenye dozi ya pangusa
 
Kama ni mimi nitafanya yafuatayo, nitawatafuta wote niliowakosea na kuwataka radhi kama wangali hai, nitatubu dhambi zangu zote hadharani na kusamehe wote ili nipate amani ya moyo. Madeni kama ninayo nitalipa kwa kadri ya uwezo wangu. Kama nina watoto nitawafundisha hekima ili waishi vyema mara baada ya mimi kwenda kusiko julikana.

Nitamwomba mola anisamehe makosa yangu kama ambavyo mimi nimesha tubu na kusamehe. Baada ya hapo nitaitafuta njia ya kweli na kufanya kazi kwa bidii bila kusahau ibada.
 
Yakubidi kuyafanya haya sasa
 
!
!
Miezi mitatu ya mwanzo nitafanya yale yooote niliyotamani kuyafanya ila sikuweza, mwezi mmoja yaani wa nne nitajitahidi sanaa kusahihisha pale nilipokosea ama kwa kuomba msamaha au kutoa ushuhuda kwa wengine wasifanye kama mimi, mwezi wa tano narudi kwa Mungu wangu, nikisubiri kifo kwenye huo wa Sita.
 
Niliwahi kutafakari haya mwishowe nikasema haya hakika tutarudi tulikotoka namwomba Mungu anijalie kuishi kama atakavyo
 
Kama ni mimi nitafanya yafuatayo, nitawatafuta wote niliowakosea na kuwataka radhi kama wangali hai, nitatubu dhambi zangu zote hadharani na kusamehe wote ili nipate amani ya moyo. Madeni kama ninayo nitalipa kwa kadri ya uwezo wangu. Kama nina watoto nitawafundisha hekima ili waishi vyema mara baada ya mimi kwenda kusiko julikana.

Nitamwomba mola anisamehe makosa yangu kama ambavyo mimi nimesha tubu na kusamehe. Baada ya hapo nitaitafuta njia ya kweli na kufanya kazi kwa bidii bila kusahau ibada.
Mkuu comment yako ni nzuri sana iliyojaa maneno yenye hekima,

Lakini kwa vile sisi binadamu hatujui siku ya kifo chetu ni vizuri tukaibadilisha hii comment yako kua vitendo,yaani tufanye uliyoshauri au uliyojipangia kuyafanya endapo utajua umebakiza miezi 6 tu ya kuishi,let us turn it to reality before it's too late, nimeichukua comment yako kama "Ushauri"
 
Dikteta anajiamini kupita kawaida, anadhani watanzania tunamuona malaika kumbe tunamuona kichekesho

Nitafungulia zipu bila kuogopa ukimwi, nitaonja kila aina ya papuchi

Una akili tofauti tofauti kulingana na muda, hii pumba ni ya mwaka kulingana na madini ulotoa pale juu
 
Nitatubu kwa makosa yangu yote, nitaomba msamaha kwa kila niliyemkosea.

mkuu kutubu si inachukua lisaa limoja tu tu assume ni siku moja top top... je hiyo miezi mingine utakua ukifanya nini?
 
Kama ni mimi nitafanya yafuatayo, nitawatafuta wote niliowakosea na kuwataka radhi kama wangali hai, nitatubu dhambi zangu zote hadharani na kusamehe wote ili nipate amani ya moyo. Madeni kama ninayo nitalipa kwa kadri ya uwezo wangu. Kama nina watoto nitawafundisha hekima ili waishi vyema mara baada ya mimi kwenda kusiko julikana.

Nitamwomba mola anisamehe makosa yangu kama ambavyo mimi nimesha tubu na kusamehe. Baada ya hapo nitaitafuta njia ya kweli na kufanya kazi kwa bidii bila kusahau ibada.

mkuu malila comment yako ina msisimko wa nguvu lakini hivi je ikiwa umeshapatana na adui/rafiki zako ambayo hilo zoezi litakuchukua siku kadhaa tu je una kipi kingine cha kuifanyia dunia
 
!
!
Miezi mitatu ya mwanzo nitafanya yale yooote niliyotamani kuyafanya ila sikuweza, mwezi mmoja yaani wa nne nitajitahidi sanaa kusahihisha pale nilipokosea ama kwa kuomba msamaha au kutoa ushuhuda kwa wengine wasifanye kama mimi, mwezi wa tano narudi kwa Mungu wangu, nikisubiri kifo kwenye huo wa Sita.

mkuu nkuchokoze!!! share na sisi hayo ambayo ungeyafanya hiyo miezi ya mwanzo
 
Mie ningefanya kila jitihada niende Makka nikajilipue kwenye AL KAABAH! ili dunia ipate mtazamo mpya.
 
Back
Top Bottom