Kama vipi rukeni mpinge mbizi mtuachie mashua yetu, tutakutana pwaniTafsiri nzito sana hiyo
Naona Magu na Makondakta wanavyoitafuna nchi kwa mgongo wa madaraka
Hiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.Tafsiri nzito sana hiyo
Naona Magu na Makondakta wanavyoitafuna nchi kwa mgongo wa madaraka
Na hyo ndiyo maana yakeHiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kuna watu wana uwezo ..Hiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app