Anajua siasa, na alikuwa anajua atendalo. Kuongoza watu ambao walishaharibika tangua enzi za wengine ni kazi sana. Inataka hekima na busara kumaliza muda wako salama.Atleast umeweka rekodi vizuri. JK alikuwa ......... tu kwenye eneo la kusimamia nidhamu kwa watumishi na eneo la Rushwa na ufisadi. Kinyume na hapo tungekuwa mbali kimaendeleo
Na yule wa ARVs feki si ni zao la JK?yule aliyewatesa na kuwaua watu wale na anayefanya hivyo sasa ni watu wabaya na tatizo kubwa ni mfumo unaowalinda watu hawa. wote ni mashetani na hakuna mwenye unafuu. tuchukie uovu kwa nyakati zote. kikwete hakuwahi kuwa na hizo ambazo leo watu wanasema ni busara. sikuwahi kuona hizo busara kwa uharibifu uliofanyika kwa mali za watanzania. watanzania wangapi walikufa kwa kukosa madawa wakati kuna watu wanagawana pesa za escrow?za richmond?iptl? mchakato wa katiba wa kihuni kupata kutokea? watanzania ni wasahaulifu sana.visasi chuki vilikuwepo hata wakati wa kikwete na huko ndiko vilikoanzia. trust me akija mwingine miaka hiyo ijayo magufuli ataonekana alikuwa mtu mwema. na hapa ndipo ninapochanganyikiwa na wakosoaji wetu.
Na yule wa ARVs feki si ni zao la JK?
Tatizo huwa hamuweki akiba ya manenoNi mtazamo tuu
Naye Ni muuaji tu siyo wakusifiwa kabisa. Utauzaje gesi yetu Yani hela yote jamaa Anna kula. Kila siku anapokea mgao wa 400. Sizonje aliposema akiamua kufukua makuburii.Umeona mbali sna kikwete alikuwa zaidi ya kiongozi zaidi ya Baba ktk maisha hkn kitu kigumu km kuvumilia kuelezwa mapungufu yko wakt ww ndio una power na usitumie power yko kumuazibu anae kueleza ukweli maana binadam tumeubwa kuchukia ukweli...
(1) Ben saanane yukowapi?Wataje ukifikisha 10 waliopigwa risasi na kuuwawa na waliojeruhiwa na waliopotea ukijumlisha na waliotekwa awamu hii nakupa Jero ya vocha usitukane we shusha tu majina alafu reply me ntajua kweli upo serious acheni mambo ya kihuni fanyeni maisha mambo tafuteni maisha acheni siasa za vijiweni
Soma vizuri jamaa alikuwa anazungumzia utu. khs rushwa ilo ni swala lingine Africa viongozi wetu wote wala rushwa wapo kwa ajiri ya mtumbo yao na familia zao Rudi kwenye ujenzi kiwanja chato Rudi kwenye ile meli mali ya jeshi kwa sasa Rudi usanii wa kila siku bandarini...Naye Ni muuaji tu siyo wakusifiwa kabisa. Utauzaje gesi yetu Yani hela yote jamaa Anna kula. Kila siku anapokea mgao wa 400. Sizonje aliposema akiamua kufukua makuburii.
Ni muuaji kuliko madabida
Akina nani hao wanaopigwa hizo unazoita mboko? tufafanulie hapo.hizi mboko anazowapiga Magu si za nji hii!
Mkuu usiumie sana, hata hivyo wewe endelea kusheherekea ujio wa kamanda mpya bwana nyalandu
Anajua siasa, na alikuwa anajua atendalo. Kuongoza watu ambao walishaharibika tangua enzi za wengine ni kazi sana. Inataka hekima na busara kumaliza muda wako salama.
Kwani ''huyu'' yeye ni msafi sana au?
INnawezekana alivumiliwa sana?
Kama ''jamaa'' angekuw mkali, na yeye saa hivi si angekuwa mteja wa wengine.
BUSARA NA HEKIMA hutoka kwa Mweznyezi Mungu.
Inategemea umri wako, exposure yako, elimu yako, makuzi yako, nk katika kufahamu mambo. Sikulazimishi kukubali ninachoandika.Sikuelewei hata! Busara kwenye kuongoza yes! Lakini Busara kwa mwezi na mla rushwa??
Hakuna aliyesema aliyepo na msafi kila mmoja na uchafu wake!
wa kweli JK, ukimlinganisha na huyu was sasa, kwa hekima na busara, ni opposites! Mbali mbali kama mashariki na magharibi
Inategemea umri wako, exposure yako, elimu yako, makuzi yako, nk katika kufahamu mambo. Sikulazimishi kukubali ninachoandika.