Tafakuri ya Kikwete

Kaka yangu mshana umekuwa hopeless hivyo

Bora ungebakia kupiga ramli tu haya mengine achana nayo
 
Umeona mbali sna kikwete alikuwa zaidi ya kiongozi zaidi ya Baba ktk maisha hkn kitu kigumu km kuvumilia kuelezwa mapungufu yko wakt ww ndio una power na usitumie power yko kumuazibu anae kueleza ukweli maana binadam tumeubwa kuchukia ukweli...
MKUU KATIKA HILI KILA MWENYE MAMLAKA AKAJIFUNZE KWA MH.KIKWETE.
 
Kaka yangu mshana umekuwa hopeless hivyo

Bora ungebakia kupiga ramli tu haya mengine achana nayo
Nikishakuwa kaka yako siwezi kuwa hopeless labda unibadilishie title.... By the way umeniita hopeless kitu ambacho ni mtazamo wako na sina tatizo kabisa na hilo.... Sasa hebu nijibu kwa hoja ukionyesha huo u hopeless! Ukishindwa basi wewe ndio utakuwa zaidi ya hopeless
 
Baada ya vyuma kukaza sana, hatimae waja wa mungu waanza kumkumbuka dereva mstaafu.
 
Naona uko kwenye kichwa cha JK!

hahahhaaahaha... Bavicha mna hali mbaya kweli!

Ni bora kuitwa BAVICHA kwa maana umeusemea moyo na huo ndiyo uzalendo,kwenye nyeupe weka nyeupe na kwenye nyeusi weka nyeusi.Kikwete ana madhaifu yake lakini kwa BUSARA amemzidi sana Mwenyekiti wenu wa awamu ya TANO
 
Umepaelewa pale nilipoandika tafakuri ya Kikwete kwa mtazamo wangu?

Tatizo la wanaCCM wanapenda kusifu na kutukuza tu,ndiyo ahwa waliomsifu JK enzi zake mpaka JK akaona taabu lakini nafikiria leo JK anashangaa wale waliomshangilia na kumpa big up ndiyo wale leo wanaomtukana matusi yote.Hakika anaona bora upinzani uliomzodoa pale pale yakaisha kuliko hawa wanafiki wapiga makofi mwisho wa kipindi wanakutukana mpaka basi.
 
Sometimes wanachosha kweli hawa wadudu sijui wamelishwa nini?
 

hujajua. hujajua mshana.
 
mshana jr hatuwezi sema kikwete was good sababu sasa hivi tuna magufuli ambaye hatukubaliani naye. it is wrong na ndo hapo kwa upande wa wapinzani wanaonekana kuwa wanaendesha siasa kwa mihemko na matukio. mnamkumbuka mwangosi?mnamkumbuka dr ulimboka? dr mvungi?ab kibanda kumwagiwa tindikali?kubenea? mimi nakumbuka. nakumbuka hya mambo yalitokeaje na nini kilikuja kutokea baadaye. aliyemhusika na mauaji ya mwangosi alipata adhabu gani? alipandishwa cheo. aliye taka kumuua dr ulimboka alikuwa wapi ?kwa maelezo ya kubenea ni mtu wa ikulu. nini kilifanyika? haya mambo kuna watu wanakosea sana kuanza kumsafisha kikwete hivi sasa kwa uovu alioufanya simply kwa sababu kuna maguful. mi nlidhani tunapaswa kukemea uovu uliopita,uliopo na ujao. huo ni mtizamo wangu.
 
Nimelizungumzia hili ndani ya mada kuu,labda tu kwakuwa sikutoa mifano dhahiri kama wewe
 
yule aliyewatesa na kuwaua watu wale na anayefanya hivyo sasa ni watu wabaya na tatizo kubwa ni mfumo unaowalinda watu hawa. wote ni mashetani na hakuna mwenye unafuu. tuchukie uovu kwa nyakati zote. kikwete hakuwahi kuwa na hizo ambazo leo watu wanasema ni busara. sikuwahi kuona hizo busara kwa uharibifu uliofanyika kwa mali za watanzania. watanzania wangapi walikufa kwa kukosa madawa wakati kuna watu wanagawana pesa za escrow?za richmond?iptl? mchakato wa katiba wa kihuni kupata kutokea? watanzania ni wasahaulifu sana.visasi chuki vilikuwepo hata wakati wa kikwete na huko ndiko vilikoanzia. trust me akija mwingine miaka hiyo ijayo magufuli ataonekana alikuwa mtu mwema. na hapa ndipo ninapochanganyikiwa na wakosoaji wetu.

Nimelizungumzia hili ndani ya mada kuu,labda tu kwakuwa sikutoa mifano dhahiri kama wewe
 
Paskali msameheni bure, hajielewi. Labda anautaka u dc, me nilimwambia angeweza kuchambua na kumsifu mtu bila kumdhihaki mwingine. Mtu hawezi kuongoza taifa kubwa km tz kwa miaka 10 na chaguzi zote kashinda umuite dhaifu, kila mwanadamu ana strength na weakness zake. Inawezekana udhaifu wa magufuli ndo zikawa strength kwa Kikwete. Kikwete aliweza kuvumilia upinzani, akaruhusu watu kuzungumza, kuandika na kuwepo kwa upinzani. Ww unaona ni udhaifu huo, kikwete alikuwa anajiamini sana. mf. Ukimkataza mkeo kutumia simu ya mkononi, watu watakutasfiri ww ni jasiri au dhaifu? Paskal ni low thinker sana. Maraisi wengi afrika wanajikuta wanaua watu hovyo kwasababu ya hofu na woga mioyoni mwao.
 
Una mashetani wewe, wangapi wameuliwa na kuteswa enzi za Kikwete.
Hamkuwa mnamshambulia Kikwete ni mdini. Bavicha na chama chenu ndio sera mmebakiwa nazo hizi, sera za kipuuzi na uwongo, alafu mje kulia mmeibiwa kura.
Hovyo kabisa
 


Atleast umeweka rekodi vizuri. JK alikuwa ......... tu kwenye eneo la kusimamia nidhamu kwa watumishi na eneo la Rushwa na ufisadi. Kinyume na hapo tungekuwa mbali kimaendeleo
 
JK ALIKUWA KIONGOZI WA KAWAIDA MNO ILA UKIMLINGANISHA NA HUYU MPYA BS JK NI BORA.

KWANGU MIMI RAIS BORA NI NYERERE TU.
 
MKuu Mshana,
hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama unafiki, mnafiki hata tofauti na mchawi.
Moyo wa mnafiki huwa hautulii sehemu moja, hupenda kuangalia upande wenye faida.
Mnafiki ni sawa na Bendera, hauna uwezo wa kupambana na upepo.
Pascal anatambua ukweli, naamini anaufahamu vizuri sana. Ila sijui kinachomponza ni unafiki au nini.
Tangu yule jamaa liposema '.....hili jina maana ya NJAA.......'', Pascal haeleweki abisa siku hivi.
Ila wenye akili tunafahamu, asipojipendekeza sio tu kwamba hatopata AIRTIME kwenye TV bali pia hatopewa kazi za serikali.
HONGERA brother PASKALI kwa kujitambua.
Endeleza tabia ya kinyonga, ili watoto wasishindwe kwenda maliwatoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…