KabisaHatujali kama anayajua mengi, bali tunajali ubora wa maamuzi ya hayo anayoyajua.
Kujua mengi sio kujua yote weweRais ni taasisi, anayajua mengi!
Nani kasema anayajua yote bwashee?Kujua mengi sio kujua yote wewe
Halima Mdee ndio nani Huyo Mkuu?Sasa kama hata Halima Mdee amewazidi akili nyie kama siyo wajinga ni nani?
Kiongozi wa Upinzani Bungeni!Halima Mdee ndio nani Huyo Mkuu?
Na hayo mengi yenyewe inategemea na hao wanaompa mengi.Kujua mengi sio kujua yote wewe
Waa'adhubillahi min dhaalikKujua ama kufahamu mengi hakumaanishi kuwa unajua ama unafahamu yote ama una uwezo wa kufanya yote peke yako ndio maana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na MUWEZA YA YOTE ana wasaidizi
Nikweli anayajuwa ila kiusalama sio yote anatakiwa kuyasema au kuijulisha jamii why? Taarifa nyingine huwa ni ngumu na huwa ktk kipengele cha hisia za wana usalama base on old facts or new. Hivyo hiyo taarifa hubaki kama sehem ya kuendelea kufanyia kazi ili sasa upate ukweli kamili.Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui zimetoka wapi!
Mh Rais alijaribu kutuweka wazi kuwa yeye anataarifa nyingi kuhusu ili janga kuliko sisi ambao tunapepesa pepesa tu, na ndio maana anajaribu kutuambia hii ni biashara, ni vita uchumi na ndiyo maana wanaogua ni waliopo mjini ila si vijijini.
Ukiitafakari kauli ya Mh Rais inakuoa picha gani? Yeye nikiongozi wetu anayajua mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app