Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,611
Kisiasa siku ya wajinga ilifana na kufanikiwa kwa asilimia 99! kwa JK fake aliweza kuhamasisha jamii yetu via clouds fm na "wajinga" wengi walipatikana na kuamini.
Pili kulitokea hoja ya mshahara wa Raisi! through the same media, hii pia imekuwa hoja ya wiki pasi na kuzamia kutafakali kwa kina, asiye " mjinga" badala ya kuhamasika na kushangilia angejiuliza maswali yafuatayo:
1. Inawezekana kijeshi mshahara wa seniour Copro kumzidi juniour Sargent?
2. Kwa hoja number moja je kijeshi nani hupigiwa salute CC au CDF? Je mshahara wa CDF unaweza ukqmzidi CC? CC Maana yake ni Commanding Chief, ambaye kwa katiba yetu ni Raisi!
3. Bahati mbaya watanzania sio wachunguzi! FOBES walitoa ranks za highly paid presidents africa tulikuwa wa nne, je kumetokea cuts? ingetokea FOBES wangekuwa wa kwanza kureport.
4. Mtu kama CDF governor na senior post kama katibu mkuu kiongozi mshahara wake unaweza ukawa mamilioni mangapi? je wanaweza kumshinda raisi?
Kiufupi nadhani wengi wetu tulikuwa fools siku ya wajinga tukabaki tunashangilia mpaka leo! 99% have been fools!