Tafakari

Tafakari

Elle Kisinga

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
64
Reaction score
6
796b647a313429970b31a97bc7225ed6.jpg


Hii sidhani kama kila mtu anaiona iko poa!
Sote kwa ujumla inatubidi tujitathimini kw-
haya maamuzi ya Mkuu...
 
labda watakapohamia umeme utakuwa haukatiki!
 
kazi ya tingatinga ni kubomoa na mkuu ndo tingatinga kwa hiyo bomoa tu! kwa sababu hakuna namna nyingine
 
Huyo mzee wetu anaona mbali kwani lile jenga kukaa pale ndio lina zalisha umeme hata lingeamia wap yote sw na huduma zitaendelea tu morogoro road ni barabara kubwa sn hata wangeweka Njian 5 kwenda 5 kurudi pia ingefaa sn mtu huwez unatoka mkoa 2 unawaza dar foleni jmn wanunga mkono hoja MAKOFI TAFADHALI
 
Back
Top Bottom