Katuni hii inatufundisha nini?
1. Bodi ya Mikopo inatumikishwa tu (rungu la kutwangia watu). Yenyewe peke yake haina lolote.
2. Aliyeshika rungu kavaa jezi ya kijani. (Young African? Mwana chichiemi?)
3. Mshika rungu ni mvaa miwani
4. Rungu halijatua chini...na halina dalili ya kutua. Hii ni tisha toto tu kumbe...kuwanyamanzisha
On a serious note: yale majina yaliyotolewa na "rungu" yana idadi kadhaa ya watu waliokwisha tangulia mbele ya haki (RIP). Kwa nini haukufanyika uhakiki kwanza kabla ya kutoa ile ultimatum ya mwezi mmoja, au watakamatwa ndugu za marehemu?