Tafakari wewe Mwenyewe

lakini miba na moto wa ardhi baada ya kupashwa na jua jumlisha viuchafu vidovidogo vinamkomesha.
kwa kweli kila kitu kwake ni taabu panapo utupu hapo
 
Mambo matatu:
1. Hiyo kufuli haijafungwa.
2. Hata kama ingekuwa imefungwa lakini ufunguo bado upo hapo, kwa hiyo unaweza kuifungua kirahisi.
3. Hata kama ingefungwa na ufunguo haupo, bado hiyo kufuli ndio imetangulia halafu kitasa kikafuata, kwa hiyo sufuria inafunguka tu hapo kwani haijalokiwa.
 
maisha bora.............shule mbovu,hazina walimu mitaala mbulula ,,,tunajenga barabara za kupitisha contena za madini,....na magari yao ...
 
Hii sijapata kuona!
Sure, lazima haya ni mambo ya uswazi.
Lakini pia inaweza kuwa ni design ya Pressure cooker, ambapo bila hilo kufuli mvuke utasukuma kifuniko na kuchelewesha lengo la kuwivisha haraka!
...yawezekana pia jamaa analinda vipaja na vipapatilo vya kajogoo kake wasimdokolee!..ubunifu mzuri.
 
ukiyavaa makete dk 2 tu yanakua kama CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…