Tafakari pamoja nami

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098

kengele ya kuwakumbusha muda


mwonekano wao wawapo shuleni


maisha waishiyo baada ya masomo


Tanzania @50
NA TUNATHUBUTU KUPOTEZA MORE THAN 5B KWA AJILI YA SHEREHE YA JWTZ PALE TAIFA KWA MASAA MACHACHE TU, HAPO HATUJAGUZA BMK
 
Kuna maswala muhimu mno yameachwa kuingizwa kwenye katiba iitwayo mpya kwa sababu ya interest za wakubwa
 
Kuna maswala muhimu mno yameachwa kuingizwa kwenye katiba iitwayo mpya kwa sababu ya interest za wakubwa
Ni kweli kabisa mshana jr, wao wameweka mambo kwa maslahi yao binafsi, mtoto kama huyu anaishi maisha magumu hadi uzee wake, maana kusoma kwa shida, kufaulu kwa shida na hata ajira za shida, nini hatma yake!!!
 
Kuna watoto tabaka mbili mmoja ulaya na hamna shid na akirudi hupewa cheu kidogo na baadaye kuwa mkubwa na la pili ndo hao wapo kwa mshahara wa 180 kwa mwezi na hawa ndo wapo wengi na wakitaka mgomo tu basi mabomu ya moshi na maji ya washa washa
 
Subirini mkuu kaenda kuuza gesi China, labda akirudi watoto watapata kandambili.
 
Dawa ya kwanza kubwa kabisa ni kuyaondoa MAGAMBA jamani.... '2015 MAGAMBA OUT'
Yaani ninatamani sana magamba yatoke, maana this is too much. Miaka 51 ya Uhuru bado wanafunzi wanakalia mawe wakati kuna watu wameficha hela Uswiss na hawajafanywa lolote? Ee Mungu sikiliza kilio cha wanyonge, hospital hakuna madawa, mashuleni hakuna walimu, nini hatma ya Tanzania:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Ni kweli kabisa mshana jr, wao wameweka mambo kwa maslahi yao binafsi, mtoto kama huyu anaishi maisha magumu hadi uzee wake, maana kusoma kwa shida, kufaulu kwa shida na hata ajira za shida, nini hatma yake!!!
aje kuwa jambazi avunje benki
 
Kaka mshana hapa tuna sindikiza maisha familia fulani tuu Mimi na wewe hatupo kwenye mfumo au umesahau uongozi wa tz upo ki mfumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…