Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,310
- 4,538
Mwaka ndio huoooo unamalizikia huku kila mmoja akitamiza malengi yake kama alivyajalia muumbaji wetu na juhudi za muhusika.
JF kwa mwaka huu imekuwa mi mtanda wenye kustahili pongezi kwa kutoa habari, kuelimishana, kutaarifiana na kuburudisha tofauti na mitandao mengine.
Ni mtandao wenye changamoto kubwa kwa watumiaji wake.
Pongezi kwa mods wote na watu wake kwa kuweza kuliongoza jukwaa vyema ingawa kulalamikiwa kulikuwepo sana ila ndii hivyo sheria ya jukwaa lazima ifanye kazi.
MAONI YANGU:
Ingawa sijui kama ipo au haipo,nilikuwa napendekeza kuwe utaratibu wa wanaJF kukutana mara mbili kwa mwaka ili kubadilishana mawazo na kupeana mawazo tofauti au hata kutendembelea jamii tofauti tunayoishi.
...............
Pia JF imekuwa ni darasa tosha la kufahamu akili za watu kulingana na kile anachowasilisha humu na ninadhani jina bandia limekuwa ni pazia tosha kwa kuwaficha wengi na labda wengine wanafanya makusudi kwa ajili ya hiyo.
Jukwaa limekuwa na watu wa kila aina ya uelewa na kuna wengine wamekuwa wagumu wa kuelewa mada zinazokuja hadi waweza waza kuwa ni mtu wa aina gani.
Ni bora sana kutafuta kuelewa kuliko kutumia muda mwingi kuelewesha.
kuna waliojaaliwa kuwa wabishi wa kila jambo la kweli ama liso la kweli.
JamiiForums imekuwa njia nyingine ya watu kufahamiana na kukutana hivyo kuongeza urafiki na ujamaa.
Kuna majukwaa yaliyokuwa moto sana kwa mwaka huu kama jukwaa la siasa lenye wapenzi kibao, hoja mchanganyiko, mapenzi na vijukwaa vingine.
Pia yapo majukwaa yaliyo poa sana kwa mwaka huu, likiwemo jukwaa la lugha.
Amani iwe kwenu wote.