Tafakari na picha

Nchi zilizo serious na maisha, kama kunahitajika kitu cha namna hii basi timu ya ulinzi wa Rais wanaenda na equipments zao.

Hapa PSU walichemka pakubwa sana.
Kila siku wananchi wengintu tunalalamika hii nchi karibu kila kitu hovyo.

Kama ni kweli rais kauwawa basi ni janga kubwa zaidi mifumo yote ya hii nchi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…