Huyu hakurupuki kuwasilisha fikra zake kwa wazi.anawaachia watu waamue ujumbe uliolengwa kwa kuhusianisha na hali iliyopo katika maisha.Masoud sawa na mpoto.hawakupi mlengo wao ila wanakupa mwanya wa kutafakari ujumbe ulobebwa.
Kuwaona lori la mafuta liliwaka moto Dumila thread ikaletwa humu na baadhi ya wachangiaji walidai dereva yule huenda amebashite leseni.
So huenda na dereva wa basi hili amebashite leseni.