Tafakari na Kipanya

mkuu ukiwatafakari sana watanzania unaweza kuchanganyikiwa, ni watu ambao hawajui nini wanataka.

Mtu kama huyo unafikir atakuwa na mawazo yenye manufaa?
Yeye anaamini kila anayesafiri nje ya nchi anajua kiingereza na anaamini kuwa anayeongea kiingereza ndio mwenye akili huyo ng'ombe ni kumsamehe tu.
 
pumba tu na Rais wako mpelekeni chuo.


swissme
 
nilitamani niwe Mwalimu wake wa kiingereza.


swissme.
Yaani wewe kujua kingereza umeona jambo kubwa,utumwa uko wa Aina nyingi mmoja wapo ni huu, ndio maana wakawekwa wakalimani,kuwa mtanzani na jivunie kilicho chako ndugu,Nina Imani hata wewe grammar huijui.
 
nimetafuta huko google kote hamna kitu, inawezekana kweli!

Mwenye speech yeyote ya Mh. aliyotoa in English, atupie humu jamvini....!

 
Nimekuelewa mkuu. Naamini magu atatutolea huu ukoloni mambo leo. Kikubwa naomba elimu izingatie stadi za kazi waachane na historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…