Kwa wale wakristo wenzangu huu Uzi ni maalumu kwa kutafakari Neno ,
Weka Neno la bwana hapa tutafakari kwa pamoja,
Weka mafundisho yenye hekima ili tuweze kuijenga Roho ile aliyotujaria muumba.
Maana yeye anasema"Msiwaogope wale wote wanaowatesa na kuweza kuudhuru ama kuuwa mwili wa Nyama bali muogope yule anayeweza kuangamizi mwili pamoja na Roho"
Amina.
Tafakari Njema wapendwa