Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Habari wadau!
Nimetafakari nimeona naumiza kichwa sana kuelewa serikali hii inamaanisha kitu gani.
Kwa taarifa zilizopo kuwa tra inakusanya tena kwa kuvuka malengo waliopangiwa ikimaanisha kodi inakusanywa kweli kweli na biashara na ajira zinamiminika kuliko awamu zote.
Hii inamaanisha uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu na tuko nchi ya 3 afrika kwa ukuwaji wa uchumi tena kwa speed ya 7G.
Sasa inakuwaje bajeti kabiria zote isipokuwa bajeti ya kununua ndege ndio haijakatwa ila wizara zotezilizopitishiwa mapato na matumizi zimepunguzwa kati ya 10%-40% kuanzia Afya, michezo, maji nk
Kuna kikwazo gani kama fedha zipo?