Tafakari hii picha ni wewe enzi hizo

wengi tumepita huko kwa hiyo tunaelewa hali halisi ilivyo.....safi sana
 
Duu! mkuu umenikimbusha mbali enzi hizo ukitoka skuli unaambiwa ukachote maji kisimani takribani kilomita tatu hivi, safi sana nakumbuka zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
wengi tumepita huko kwa hiyo tunaelewa hali halisi ilivyo.....safi sana
ni kweli tumepitia,halafu sometime wazazi wanakupa lindoo kuuubwa yaani kulibeba mpaka ufike home shughuli,halafu nakumbuka kipindi hicho wenye mabomba ya maji walikua wanajiona keki kweli kweli yaani.preta umekuja kivingine.:A S crown-1:
 
Duu! mkuu umenikimbusha mbali enzi hizo ukitoka skuli unaambiwa ukachote maji kisimani takribani kilomita tatu hivi, safi sana nakumbuka zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
he he sometime bomba la kisima la ku pump soo tupu.
 
wengi tumepita huko kwa hiyo tunaelewa hali halisi ilivyo.....safi sana

Preta samahani...ivi Yaeda chini kuna mabomba ya maji kweli???

Anyway, vipi kwema huko???? Best regards to all huko Yaeda
 
aaah jamani msinikumbushe,ulikua ukitoka shule unapewa msosi halafu unaambiwa ukateke maji.
shule tulikua tunaenda tumebeba vidumu vya maji kama hivi ajili ya kumwagilia bustani na kudekia darasa.
 
tehe ilikuwa kawaida saana for most 18yrs nimefanya hiyo kazi maana tulikuwa wafugaji wa kuku so u can imagine na mgao wa maji km huu.
 
Tena afadhali huyu. Mi mwenzenu nikiwa na umri wa huyu dogo nilikuwa nabebeshwa mizega-mizega kabisa ya madumu ya maji - mwendo wa km 3. Ilikuwa inabidi niende kwa mwendo wa mbwa (nikikimbia kwa hatua ndogondogo za kimizega-zega wakati mwingine huku nikiimba nyimbo za kikwetu). Dah, nimekumbuka mbali hakika!
 
lol
 
Watoto wa mafisadi hilo wanaliona kwao ni kitu kigeni na kichekesho ndugu zangu lakini watu kama sisi tena hiyo nafuuu...uliza wanaoishi huko mikoani after nenda vijijini hakuna bomba huko mambo ya mtoni tu na visimani...acha tu mandugu
 
aaah jamani msinikumbushe,ulikua ukitoka shule unapewa msosi halafu unaambiwa ukateke maji.
shule tulikua tunaenda tumebeba vidumu vya maji kama hivi ajili ya kumwagilia bustani na kudekia darasa.

Cheusi hiyo ndo hali halisi mpaka sasa huku kwetu kijijini
Maji tuna visima vya kupampu tena afadhali hivyo vya kupampu
kuna vingine hadi leo vimejengwa enzi ya mkoloni na havitoi maji
kwingine unafuata maji km 10 inabidi uyaamkie usiku....ndoa zetu zipo mashakani
 
Hayo mambo yapo, enzi hizo nipo nyumbani kijijini nilikozaliwa mnaamka mapema asubuhi kwenda kuchota maji kisimani, ukiona chemchemu haitoi maji kwa wingi unafunika na chombo ulichoenda nacho ili usiyaone na ukifunua yakiwa mengi unafurahiiiii!
 
Hii picha inanikumbusha nikiwa naenda shule Kidumu cha maji,ufagio,Kuni tatu mkononi,jembe na mfuko wa madaftari.
Kutokana na kubeba vitu vingi kama hivyo basi tulikuwa tunaficha madaftari vichakani ili usijeshindwa kubeba.Ila nimetoka mbali sana!
 
duuuuhhh shati lina vifungo safi sana...
na wala hajatafuna kola....
na guduria jeupe ... huyu mstaarabu sana
 
aaah jamani msinikumbushe,ulikua ukitoka shule unapewa msosi halafu unaambiwa ukateke maji.
shule tulikua tunaenda tumebeba vidumu vya maji kama hivi ajili ya kumwagilia bustani na kudekia darasa.

40268_1458491473619_1573366553_31082626_1098920_n%5B1%5D.jpg
CM hiyo ya shule imenikumbusha mbali sana. Darasa langu tulikuwa na jukumu la kumwagilia bustani iliyo mbele ya ofisi ya mwalimu mkuu, basi weee, kila siku ilikuwa ni kasheshe na walimu wa wazamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom