Tafakari ewe Dada

TABIA NZURI KWA MWANAMKE NI SIRAHA TOSHA KUMUUA MWANAMKE
 
mkuu wanawake wa kizazi hiki ni sikio la kufa... we achana nao tutawaoa wanaojitambua tu.... over!!!!
 
Ni vigumu sana kumgundua mwanamke anahitaji nn lkn post zingine napata ukakasi kusema amepost mwanaume
Hasa hii
Mwanaume makini ni yule anayetafuta mke mweredi kitandani tabia
Yaweza badirishwa tu
Au hamuoni mke mxuri kitandani zero mume ndo beki 3 nyingi tu kwa sababu ya mke
 
Wapeni pumzi wenzenu, kuolewa siyo kuishi na mume bwana, Winnie Mandela aliachwa na hajawahi kaa uchi mitandaoni,Prince Diana aliachwa, hivyo hakuna la ajabu. Ukichoka sogea kushoto wengine wakae.
 
Hata kitandani pia watu hufundishwa na wakaiva na ndo nyie Leo mnaozaaa watoto wenu na kusema watoto wa kizazi hichi hawana maadili suala la utamu lipo maana kila MTU na utamu wake
 
Hivi sio nyie mnaosema uzuri wa mke tako tu, hayo mengine mbwembwe!! Hebu kuweni na msimamo kwanza maana nyie ndio vichwa, lasivyo muweke wazi kuwa huo wadhifa mmeushindwa.
 
Nawachukia sana wanawake wasiotafuta Pesa..kazi yao kuomba omba Pesa kwa watu.
 
Nawachukia sana wanawake wasiotafuta Pesa..kazi yao kuomba omba Pesa kwa watu.
Ndio utafute nyingi wakikuomba uwe nazo za kuwapatia ili uache kulia lia.
 
Hivi sio nyie mnaosema uzuri wa mke tako tu, hayo mengine mbwembwe!! Hebu kuweni na msimamo kwanza maana nyie ndio vichwa, lasivyo muweke wazi kuwa huo wadhifa mmeushindwa.
Kwenye wake 4 so lazima wote wafanane
 
Inasikitisha sana...
Ila we tabia nzuri wapo na pia wenye tabia mbaya wapo...

Ndiyo maana kuna pepo na moto... Kama wanawake wote wangekuwa na tabia nzuri au wote wangekuwa na tabia mbaya dunia ingekuwa ina boa sana...



Cc: mahondaw
 
Version ya ngapi hii??

Smart911
Cc
Hii siyo version hii ni remix...


I miss kissing your lips, kissing your eyes... I just wanna stay with you....just wanna hold you close...consoling my confidence, I'll probably just ring the heart of something that's heaven sent...
The moments i spent with you mahondaw wangu i treasure them the most...
 
Inasikitisha sana...
Ila we tabia nzuri wapo na pia wenye tabia mbaya wapo...

Ndiyo maana kuna pepo na moto... Kama wanawake wote wangekuwa na tabia nzuri au wote wangekuwa na tabia mbaya dunia ingekuwa ina boa sana...



Cc: mahondaw

Hahahaahhahahaahahahahaha na wengine akili mbili kama kimahondaw chako sio πŸ™„πŸ™„πŸ˜€.. Lol
Nakupendaje Smart911 wamie
 
Hata kitandani pia watu hufundishwa na wakaiva na ndo nyie Leo mnaozaaa watoto wenu na kusema watoto wa kizazi hichi hawana maadili suala la utamu lipo maana kila MTU na utamu wake
Umebugi mkuu kama unapitia tu ilimradi yuko mbele yako ni ww
 
Oops [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] thanks my king Julian msafiiiii September eleven teh Smart911

Bakinamimi bebiii
Nakupendajee
U know what baby??
 
Hivi sio nyie mnaosema uzuri wa mke tako tu, hayo mengine mbwembwe!! Hebu kuweni na msimamo kwanza maana nyie ndio vichwa, lasivyo muweke wazi kuwa huo wadhifa mmeushindwa.
Unajua wanawake ni maua kila moja lina harufu yake na uzuri wake tofauti na jingine
Mwwnamke anaweza kuwa UA ifuatanyi
Sura tu ndo tamu
Tako LA maana
Kiuno niachie nichinje
Ngizi laini ni kuteleza tu
Kifua binuka tt kama msumari
Miguu minene kama ulimbombo
Paja za maana ukiingia unaganda
Nywele mteremko ukizigusa tu mtambo juuu
Mikono ya kike nyroror kama kiyoyozi
Wengine unaenda umewamba tu ila ukiingia unatamani ibakir humohumo tu miguno yake unadhan uko ahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…