Miss natafuta kwahiyo unamind. [emoji23] [emoji23]mtuache tafadhali.kwani ukinidharau haufi au?Mungu ananipenda inatosha
Naona leo nyumbani hamjaamka vzrAcha kutupigia kelele kwan kuna alikuja kukuambia anataka umuowe ebu tuwache na maisha yetu we kimbele mbele sana we kaka
tutoseni tu kwani wewe ushatoswa mara ngapi?Kila siku mnakuja kulalamika kutoswa
shule za msingi zimefungwa mwezi wa sita huuLeo ni leo naona ni [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] jamani mtuwacheeeee
Cc Smart911
Shoga Wee acha tu kuanzia primary to advanced level wote wapo likizo basi tabu tupu.... Ndomana sometimes ukilogin jf everything is just boring... Unakuta mada zile zile za tangu majuziiiii mada mpya hovyo hovyo tu yani everything hovyo hovyo hovyoooooshule za msingi zimefungwa mwezi wa sita huu
Tabia nyingine ni hii, kutwa mnashinda mitandaoni kujifanya wakali pale mnapoambiwa ukweli.Acha kutupigia kelele kwan kuna alikuja kukuambia anataka umuowe ebu tuwache na maisha yetu we kimbele mbele sana we kaka
Hao wanaume wanaolia kutwa kucha wameachwa na wapenzi wao nao hawana mapungufu kila shetan na mbuyu wake ukisema cha nn wengne wanasema nitampata lini ukisusa wegne wanakula hata makomboo upooooTabia nyingine ni hii, kutwa mnashinda mitandaoni kujifanya wakali pale mnapoambiwa ukweli.
Na hata wachumba pia huwa mnawajibu kwa ukali kama hivi ndiyo maana wanawakimbia.
Kwanza wengi mliopo jf wengi wenu mna matumbo makubwa sana kwa tafiti tulizowafanyia.........
Mpe huyooooo super model[emoji108] [emoji108]Hao wanaume wanaolia kutwa kucha wameachwa na wapenzi wao nao hawana mapungufu kila shetan na mbuyu wake ukisema cha nn wengne wanasema nitampata lini ukisusa wegne wanakula hata makomboo upoooo
Tabia nyingine ni hii, kutwa mnashinda mitandaoni kujifanya wakali pale mnapoambiwa ukweli.
Na hata wachumba pia huwa mnawajibu kwa ukali kama hivi ndiyo maana wanawakimbia.
Kwanza wengi mliopo jf wengi wenu mna matumbo makubwa sana kwa tafiti tulizowafanyia.........