tafakari chukua hatua

Kwasababu ya baridi,nitaenda njia ya kushoto nikaote moto.
 
inamazingatio hii picha. tunajisahau sana kwa raha za dunia
 
"If you died today, where would you go?"
Nafikiri lugha hiyo kwenye bango ina matege, sio wewe englibertm. Labda kunyoosha matege hayo tungesema
"If you die today, where will you go?" Unajua tena hii sio lugha yetu, hivyo makosa lazima yawepo tu.
 
if I die/anyone dies today...will lay down in the grave till the day of HIS coming, when will resurrected for judgement.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…