Tafakari chukua hatua.

Wawaulize mama zao, waliishije na baba zao? Simu zimekuja kutuvurugia mipango yetu sisi wanaume, zamani mzee alikuwa anaaga kuwa anaenda kusalimia ndugu zake wilaya nyingine au mkoa kumbe anaenda nyumba ndogo. Siku hizi ukijifanya unaenda wasalimia ndugu zako utafika na kukuta salam za mkeo za kukuulizia kama umefika
Na hili wanawake hawalitaki hata kuskia.... wakati wenyewe wanaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwaulize na baba zenu waliishije na mama zenu. Walikuwa wakirudi wanaimba kwa sautiii ali aliepo asepe mapema asije kufanya mambo yakawa mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…