Notes ntaelewa kwelii??hahahaUje pm nikuelezee kwa kukuandikisha notes kidogo....
Huyu mother nonfessor ni wa kwa merlin au?
Ooouh...nilisahau kidogo...Richard (sypher) you are a true seeker.Notes ntaelewa kwelii??hahaha
Mother Confessor wa Seeker
Wow...umepatia,.mimi wa seeker na babu yetu zed zolanda the great wizard himself 😊😊Ooouh...nilisahau kidogo...Richard (sypher) you are a true seeker.
Hilo neno sijui kama nimelipatia...nilijua ni ile ya In the land of myth and time of the magic the destiny of great kingdom rest on shoulder of the young man...his name......Merlin.
Dah,.sijui hata kinachoendelea sasahivi kwenye hiyo tasnia😔😔huku niliko mazingira sio rafiki kabisaaa na vitu hivyo,.Series gani nzuri kwasasa?
Sikuhizi nimehamia kwa za watoto...the thundermans...Henry danger. Game shakers..n.k
Sina budi nikuje,..Uje huku sasa