G GARETHBALE Member Joined Dec 22, 2013 Posts 76 Reaction score 334 Mar 10, 2014 #1 Wadau,ninayo cash milion 2,naweza kupata used car??,mnisaidie wadau Mungu atawabarik zaid
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Mar 10, 2014 #2 Gari gani ya 2mil ndugu au unataka gari ya kukaa nje ya nyumba tu?angalia iyo pesa yako kanunue bodaboda mpya unapata kwa pesa hiyo Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Gari gani ya 2mil ndugu au unataka gari ya kukaa nje ya nyumba tu?angalia iyo pesa yako kanunue bodaboda mpya unapata kwa pesa hiyo Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 496 Reaction score 368 Mar 10, 2014 #3 Gari ya 2m utanunua matatizo. ogopa sana magari mabovu yatakufilisi na kukupa ugonjwa wa presha
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,440 Reaction score 138,232 Mar 10, 2014 #4 ipo moja corola dx ya 90 inauzwa laki 9 hiyo mi one kock start. ..