Kama unatumia windows 7, jaribu nenda start button>All Programs>Accessories>system tools alafu click system Restorehabari zenu
Ninatatiza na laptop (PC) yangu, my softwares hazifunguki direct, inancommand ni (open with) almost all software. even icon zimebadirika they look like the same (same icons) in diffrenc programs. kifupi hazifunguki as previous, Mfano nkitaka kufungua mozilla inacommand ni open with another programs like microsoft office, adobe, media player. tafadhari naombeni msaada wenu.
Asante ndugu kwakuonesha nia ya kunisaidia lakini hata system restore nayo pia inaniecommnd kuopen with another programes, so its like other files. Please if there is other ways so far.Kama unatumia windows 7, jaribu nenda start button>All Programs>Accessories>system tools alafu click system Restore
Kisha REstore System yako katika tarehe ilipokuwa inafanya kazi vizuri bila tatizo.:alien:
habari zenu
Ninatatiza na laptop (PC) yangu, my softwares hazifunguki direct, inancommand ni (open with) almost all software. even icon zimebadirika they look like the same (same icons) in diffrenc programs. kifupi hazifunguki as previous, Mfano nkitaka kufungua mozilla inacommand ni open with another programs like microsoft office, adobe, media player. tafadhari naombeni msaada wenu.
hilo tatizo limetatuliwa sana humu ni kitu kinacho sababishwa na link (shortcut) kuopen na program nyengine.
Tumia file hili litadownload then install restart ur pc ur done
http://www.sevenforums.com/attachme...sociations-restore-default_lnk_-shortcut-.reg
Asante sana mkuu,mbalikiwe na wote mliotoa mawazoyenu, nimefanikiwa 100% once again texn.
But ningeomba uniPM your phone number nikutumie japo kavocho mkuu.