TAFADHARI MNIELEWESHE

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Samahana wana JF kwa ambae alikosa mkopo mwaka jana katika batch la kwanza na hakuwa na pesa ya Registration
mbinu gani alitumia mpaka akaendelea na chuo kama kawaida baada ya jina lake kutoka awamu nyingine msaada
Tafadhari
 
Ili uwe registered ni lazima ulipe nusu ya ada ya chuo pamoja na direct costs. Ni kwakuwa hakuna ushirikiano kati ya vyuo na bodi ya mikopo, baadhi ya vyuo naskia huwaambia wanafunzi wao walipe ada na fedha ya Bodi ikifika wanarudishiwa sehemu ya ada iliyozidi.

Tatizo linakuja kama kiwango cha ada ya chuo ni kikubwa kuliko uwezo wa mwanafunzi. Hapa kiukweli (ukweli mchungu) hutaweza kufanya registration. Na ndio inakuja umuhimu wa bodi kutoa status ya mikopo bado mapema ili wanavyuo waweze kufahamu ikiwa watapata mikopo kwa batch zijazo au la.

Poleni sana.
 
Nafikir yule mtunga nyimbo ya wacha waisome namba alikua kashaoteshwa yajao
 
asante sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…