Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jun 4, 2016 #21 tozi25 said: Wewe kweli HAPA KAZI TU. Hebu njoo ulione daraja la kigamboni na mji uondowe stress za kijijini. Click to expand... Itanisaidiaje kimaisha baada ya kuliona?
tozi25 said: Wewe kweli HAPA KAZI TU. Hebu njoo ulione daraja la kigamboni na mji uondowe stress za kijijini. Click to expand... Itanisaidiaje kimaisha baada ya kuliona?
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Jun 4, 2016 #22 Horseshoe Arch said: Itanisaidiaje kimaisha baada ya kuliona? Click to expand... Itasaidia kukutia munkar kununua matrekta mengi kwa ajili ya kilimo. Si unajua mazo mashambani vifaa mjini
Horseshoe Arch said: Itanisaidiaje kimaisha baada ya kuliona? Click to expand... Itasaidia kukutia munkar kununua matrekta mengi kwa ajili ya kilimo. Si unajua mazo mashambani vifaa mjini
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jun 4, 2016 #23 tozi25 said: Itasaidia kukutia munkar kununua matrekta mengi kwa ajili ya kilimo. Si unajua mazo mashambani vifaa mjini Click to expand... Ninyi wavulana wa Dar mtaishia kufugwa tu na wajane...fursa zipo shamba huku!
tozi25 said: Itasaidia kukutia munkar kununua matrekta mengi kwa ajili ya kilimo. Si unajua mazo mashambani vifaa mjini Click to expand... Ninyi wavulana wa Dar mtaishia kufugwa tu na wajane...fursa zipo shamba huku!
Kidege Mbuyu Member Joined Jun 2, 2016 Posts 36 Reaction score 25 Jun 5, 2016 Thread starter #24 sifi leo said: Karibu dude, maana sjui jinsia yko! Click to expand... Jinsia yangu ni ya Adam(Mwanaume) Je yako?
sifi leo said: Karibu dude, maana sjui jinsia yko! Click to expand... Jinsia yangu ni ya Adam(Mwanaume) Je yako?
Kidege Mbuyu Member Joined Jun 2, 2016 Posts 36 Reaction score 25 Jun 5, 2016 Thread starter #25 Ulimakafu said: Krb sana JF kijukuu chetu. Click to expand... Ahsantum ...
frem zero JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 595 Reaction score 879 Jun 8, 2016 #26 tozi25 said: [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu umemkaribisha na kiswahili fasaha. Wanaume wa mikowani shidaaaa hata kiswahili hawajui Click to expand... Nawe umekosea sio mikowani ni Mikoani[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
tozi25 said: [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu umemkaribisha na kiswahili fasaha. Wanaume wa mikowani shidaaaa hata kiswahili hawajui Click to expand... Nawe umekosea sio mikowani ni Mikoani[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kidege Mbuyu Member Joined Jun 2, 2016 Posts 36 Reaction score 25 Jun 10, 2016 Thread starter #27 Horseshoe Arch said: Ninyi wavulana wa Dar mtaishia kufugwa tu na wajane...fursa zipo shamba huku! Click to expand... Dongo hilo..
Horseshoe Arch said: Ninyi wavulana wa Dar mtaishia kufugwa tu na wajane...fursa zipo shamba huku! Click to expand... Dongo hilo..
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jun 11, 2016 #28 Kidege Mbuyu said: Dongo hilo.. Click to expand... Hujambo?
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,148 Reaction score 4,323 Jun 11, 2016 #29 teh jf bhna kuna watu huku kazi yao kupokea watu cjawah ona id zao popote zaid ya humu