Tafadhali, wanaofahamu bei ya mashine ya kusaga wanisaidie

Tafadhali, wanaofahamu bei ya mashine ya kusaga wanisaidie

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
407
Reaction score
118
Habari za muda huu wakuu. samahani naomba kufahamu bei ya mashine ya kusaga nafaka, mashine piston moja na motor yake ni bei gani?
Pia mashine ya kuchomelea( welding mashine) ni bei gani?
kwa anayefahamu naona anisaidie niko mikoani huku nacheki fursa.
 
Mkuu kwanza ipo wapi kwani bei nitofauti na ulipo,mfano kwa dar na mwanza ni tofauti ok kwa mashine andaa laki 6 yakusaga hiyo anyway ni pm mkuu ntakuelekeza chakufanya
 
Mashine ya kuchomelea inategemea unataka ya specifications gani. Ya dukani au ya kutengenezwa mitaani, vile vile zinapishana kwenye mahitaji ya umeme. Kuna mashine za umeme wa single phase na za three phase. Dukani ni abit expensive, ila ya kutengenezwa mtaani inarange kati ya shilingi 250,000 mpaka 500,000 kutegemea na shehemu uliopo.
 
Hata mimi nahitaji kujua bei ya mashine za kusaga za mafuta pamoja na mota za umeme
 
Back
Top Bottom