Ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze
ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze
hapo shule nzuri ni mzumbe.kigezo cha kawaida div 1 ya maana.two marachache matokeo yakiwa mabaya..shule ni mbaya kimajengo na mabweni kama hujazoea unaweza rudi.kitabu cha ukweli yaanii kama umetumwa na kijiji.eneo lipo kilometre 26 toka morogoro mjini.na ukichaguliwa hapa hongera.
Ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze
nimesikia Mzumbe mazingira sio mazuri nowadays hadi mkuu wa shule ameomba katika bajeti inayokuja, maboresho ya shule hii yafikiriwe. mazingira nayo yanachangia kuvuruga au kuboresha usomaji wako, mpaka mtu anapata DIV. 1 form six, haijaja bure tu. ni bora uangalie shule kama itakufaa kabla ya kujiunga nayo, sio unaenda tu kisa jina la shule ni kubwa.