Last time Nyange Kaburu aliitisha Press na kuwapa siku 7 gazeti 1 la michezo jina kwenye () kukanusha habari waliyoandika kuwa Okwi ame'sign Yanga,sasa safari hii Nyange Kaburu inaonekana hataki kujihusisha tena na mambo ya Simba sasa tusubiri Press ya Mh Rage,najua lazima ataingia na bastola tu...kwani hawa watu hawataki kabisa kusikia "MUNGU mtu" wao huyu ame'sign Yanga.
hata "Aaah! deni la Maharage" alisema hivyo hivyo kuwa Mbuyu Twite hawezi kuchezea Yanga, na aliyasema hayo huku akigonga gonga meza kwa msisitizo.... press conference iliyofuata maneno yakawa machache ila mchozi ndio ulitamalaki...sasa nahisi hata huyu Kaburu kifuatacho naye ni kutoa mchozi
boban anakuja yanga? Mimi mpaka ntabadili uraia kwa hili,natafakari nichukue uraia wa somalia.haya magazeti yanakuja na vichwa vya habari vya kuvutia ili yauzwe, lakini unaweza kukuta habari yenyewe hata haihusiani...
Hizi ni habari za kuuzia magazati.boban anakuja yanga? Mimi mpaka ntabadili uraia kwa hili,natafakari nichukue uraia wa somalia.
tulia babu mbona unaanza kupatwa ugonjwa wa kusemasema ovyo?ebo au na wewe umekula maarage au?Huyo mwandishi pumavu sake mshenzi sana,alikosa kichwa chakuuzia magazeti yake ee ndoo katumwa na Yunufu Maaaanziiii ninii !