Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 637
Shukrani mkuuPole kijana hata sisi Enzi hizo tulijisomesha huku tunahudumia home. Kama mama sio mlemavu, nashauri muulize aina ya biashara anaweza fanya ili kujikimu.. Maana kutoa hela kila siku alafu huingizi ndio shidaaa, biashara za wamama sziko nyingi, kama ya vitafunwa.. Mama lishe nk. Angalia ktk boom lako kiasi gani unaweza toa kama mtaji alafu umwambie apange nini cha kufanya kwa mtaji husika ili nawe usonge mbele kimaisha na masomo. Bila hivyo ujiandae maisha kukushinda... [emoji16]
Bless sana kaka, nashukuru sanaPole sana kwa unayoyapitia kijana naamini ni suala la mda tu kila kitu kitakua sawa... naomba nikushauri ila unisamehe kama nitakua na maneno magumu ya kumuumiza
Iko hivi, wewe hapo na kwa umri wako na mazingira yako uliyoeleza hapa, jukumu la kulea familia sio lako ( I mean umejibebesha mzigo)... em fanya assumptions usingekua na boom ina maana nyumbani wasingekua wanakula??
Kwa mimi ninavyoona huu ni wakati wako wa ku focus zaidi kwenye masomo yako na kupambania ndoto zako kwanza kwa hicho kipato chako kidogo ulichonacho., cause I don't think kama unaweza ukatimiza malengo na ndoto zako ukiwa umejibebesha mzigo hivyo wa majukumu ambayo naweza kusema hayakuhusu..kwanza unaweza ukapata sonona na ukafeli hata huko chuoni.
Cha kufanya ni hiki, kaa chini na mzazi wako umuelekeze kwa upole kabisa, kama anataka muendelee kua na maisha magumu basi aendelee kukuomba hizo hela, lakini kama anataka mfanikiwe basi akuache kwanza yeye atafute namna nyingine anayoweza akapata hivyo vihela vya kula na mahitaji mengine madogomadogo... wewe kwenye hiyo hela ya boom fanya ujitimizie mahitaji yako ya msingi na nyingine kama utaweza kusave ukapata hata kimtaji ufanye hata vibiashara ukiwa hapo chuoni....
Nachomaanisha ni kwamba jisaidie kwanza wewe mwenyewe ndipo usaidie na ndugu zako
Blessed sana Our King, mdogo wako nimekuelewa na ntafanyia kazipole sana, back then nimewahi kupitia situation kama yako ingawa mimi mdogo wangu tu ndo alikua tegemezi kwangu [mimi ndo baba na mama kwake hadi kesho]
Chakukushauri..
Sijajua upo chuo gani ila as long as ni Dar then ni advantageous kwako, vaa uhalisia wa uanaume, kaa tuliza akili tafuta kitu cha kuweza kukuingizia kipato apoapo chuo kuna pesa za kutosha hasa kwa hao watoto wa mama (wakishua).
Wafanyie individual assignments, research, wafulie, uza bites kama bablish, cookies, ubuyu, karanga n.k. muda wa kujisomea darasani na kwenye vimbweta, nunua printer ndogo uwe unaprint kazi usiku muda stationery zimefungwa utakula pesa nyingi za zimamoto.
Binafsi nilikua dalali ila kwa mwanafunzi hii sikushauri japo kuna pesa nyingi sana kwenye kudalalisha simu, laptops, vyumba vya kupangisha na vitu vingine vya ndani kama vitanda, majiko ya gesi n.k ila kulala lockup ni suala la kugusa tu unless una connection na maaskari wa kituo husika.
Usijistress wala usioverthink utaondoka kwenye msitari, Kadri unavoyachukulia maisha siriaz sana nayenyewe yanakua more than serious, unaweza ukawehuka.
Ila kama wewe ni likes za kina John Kisomo then ushauri wangu fanya kama hujauona [emoji3544]
Amua sasa, the rest will be history [emoji3516]
me ni dada sio kaka,, anyways kila la kheriBless sana kaka, nashukuru sana
cha kuongezea, unaweza kutafuta leseni then tafuta bajaji au pikipiki [day worker au ya mkataba] uwe unapiga kazi usiku kulingana na mazingira yako ya uanafunzi. Paki maeneo ya kumbi za starehe kama ni pikipiki and make sure unawapa namba zako za simu, kwa bajaji vizia abiria wanaoenda stendi ya magufuli kukikucha hukosi 30k.Blessed sana Our King, mdogo wako nimekuelewa na ntafanyia kazi
Kabla ya kujiunga na chuo, nilikuwa najishughulisha na shughuli ya kuuza mikate ambayo kidogo ilikuwa kama msaada pale nyumbani.Mama inabidi ajifunze biashara ndogo ndogo! Mpatie hata 60,000/= afungue hata biashara ya mboga mboga,Na nikuulize kabla ya boom mliishi vipi?
Kabla ya kujiunga na chuo, nilikuwa najishughulisha na shughuli ya kuuza mikate ambayo kidogo ilikuwa kama msaada pale nyumbani.
Pindi nilipojiunga na chuo kwa mwaka wa kwanza kiukweli nilihitaji kusoma sana na kujikita zaidi na masomo hivyo ikapelekea kuacha biashara hiyo na kufanya michakato ya kitabu chuoni, na hapo ndo shida ilipoanzia.
Maisha yetu hatukuwahi kuishi na baba, kwani yupo lakini hana kitu na pia hana msaada na sisi.