TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

Ipo siku wewe itakutokea utaomba ushauri wa jambo la ajabu
Tambua hizi ni hisia na hisia hazizuiliki ni sawa na kuipenda timu fulani hata ikifungwa unaumia
Jitafakari
Ok am so sorry but usifananishe soccer na vitu vya kijinga
 
Kuna rafiki angu wa karibu sana aliniambia hivi pia lakini nafikiri ni kwa sababu tu alikua hajafikwa na haya ninavyoongea muda huu yeye ni zaidi ya mimi

Don try to enter in a wrong place na ukawa unaipenda

Tafakari
Labda kama ni first love...!! Ila really man haumii zaidi ya Mara mojaaa...
 
Wanaume tunazidi pungua ,sasa mkuu vitukio vyote hivyo bado unaamini katika upendo kikubwa ni BINTI KAISHA KUWA DADA WA MJINI KAJUA abc ...so fanya mchakato tu kuanza upya
 
Officer achana nae jombaaaa! Sikia sasa ... Ili roho yako itulie Msingizie Vitu vifuatavyo akilini Mwako ... Hakika utamuacha na kumsahau pasipo maumivu

1. Msingizie mangonjwa ya ngono akili Mwako ....mfano ... Lidemu lenyewe lina Ngoma (ukimwi)
2.Msingizie maumbile yake ( LIdemu gani linatembea kaa linarudi )
3 : kitandani Msingizie ( demu gani halijui kukatika onbed? Shubamiiit )

4. Msingizie usinitafutie kaswende Mbwaa jikee weeee !

BAADA YA HAPO .... MBLOCK KWANZA NAMBA ZAKE ALAFU .... FUTA NAMBA ZAKE .... MASSAGE ZAKE ZOTE .... ( HUTAUMIA HATA KIDOGO ) KUMBUKA HAYO MAUMIVU NDO YANASABABISHA VIUNGO VINGINE VYA MWILI KUFELI KUFANYA KAZI MFANO VIGO / MOYO NK.




NISOMO LA KISAIKOKOJIA ZAIDI KAMA HUJANIELEWE ...ULIZA
 
Mi nipo dodoma hapa nipe namba zake nikamshauri asikuache unampenda sana
 
We jamaa naona unataka tu kutumalizia time zetu...

Unapendaje usipopendwa?
 
Ngono siyo mapenzi. Kuna vitu vingi katika mapenzi kuliko ngono. Ila ngono huimarisha uhusiano, mtu na mwenzi wake hutakiwa kufanya ngono angalau mara 2 kila juma

Kinachoua uhuSiano weNu ni hicho.
 
Bro pole Sana....
Wewe ni msukuma mwenzangu, najua tulivyo, ukipenda Unapenda kwelikweli... Na Kwa akili zako unaamini hakuna mwanamke mrembo na utakaempenda Kama yeye..
Jifunze kusema “BASI, THERE'S SOMETHING BETTER THAN THAT BEFORE ME ”
We Tafuta mtu mwingine, then baada ya miez Mitatu njoo ufute uzi wako.
 
Kuna watu bado mazoba sana..yaan washamba wa mapenzi kama mleta thread
 
Nyie wote ni watoto na mapenzi ya utoto ndo changamoto zake hizo.
Ushauri wangu mwache huyo endelea na maisha yako na utakapokuja kumpata mwingine usijimalize hivyo nawe! Penda kwa tahadhari ukijua kesho ipo.
 
Sijakuelewa Boss
Ngono siyo mapenzi. Kuna vitu vingi katika mapenzi kuliko ngono. Ila ngono huimarisha uhusiano, mtu na mwenzi wake hutakiwa kufanya ngono angalau mara 2 kila juma

Kinachoua uhuSiano weNu ni hicho.
 
Duuh

Get courage we move on
Brother hiko kitu nami kimenitokea kuna girl pia anasom udom nilikuw nauhusiano nae zaidy ya miaka 7 alivyoingia chuo ka chng sna ilifk kipind nae alitel anamwanaum mwngn kinachonium pia kumghamia inauma sna Brother ila nw naendelea na my life bila hivy atakupotezea sna mda wako...
 
Salaam....
Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa
Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika muda tukawa tunaishi mbalimbali japokua ilikua tunakutana kwa mimi kusafiri kumfuata
Mwaka mmoja tu baada ya mahusiano kuanza alibadilika akawa anasema tuachane,anachukia wanaume,na mambo mengi ambayo badae akikaa anaomba msamaha unamsamehe anaendelea....alikuja kufanya jambo kubwa na la aibu ambalo alinificha lakini badae nilikuja kujua nikawa msaada wake mkubwa sana na akaahidi kunipenda kwa sababu kupitia tukio lile alisema aligundua kwamba nnampenda sana ukapita muda mambo yakawa hayaeleweki;ikawa inatokea unampigia sim hapokei text hajibu then ikitokea kapokea anajibu hovyo na anakua mpole na romantic akipata shida tu
To be honest nimemsaidia sana kwa mahaba yangu binafsi na si kitu kingine na nimemgharamia sana binti yule
Na kwa muda huu nimesafiri kuja kumuona lakini anatoa excuse nyingiii mno na mpaka muda huu nimemuona mara moja tu tena kwa dk zisizozidi tano na kwenye alikua anakuja kuchukua vitu nilivyomletea
Mbaya zaidi amekua akichat na watu wengi na tofauti sana akichat nao kwa mahaba sana hadi kufikia kupanga mahala pa kuonana na ukiona ukamuuliza ana kasirika anadai hao ni watu wake nisimuingilie kwa sababu yeye haingilii wangu na mpaka sasa nikawa nimeamuamuru achague watu wake au mimi amekaa kimya hataki kusema

Najua anafanya hivi yote haya kwa sababu anajua anapendwa sana na moyo wangu nevertheless isingekua kwa kiburi hicho
Naombeni ushauri nifanyeje kwa sababu nnampenda sana kutoka moyoni na nikitazama kumuacha nahisi kama kuna kitu kinapungua hivi
Naombeni ushauri View attachment 1163979
She had already winning your soul.
Your are slave to her.



Ukimuacha atarudi na atakuwa loyal mno kwako itapelekea kurudia.


Acha uhusiano nae if you cant sitisha mawasiliano nae.

Goodluck me.
 
Back
Top Bottom