TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,723
Reaction score
2,419
Salaam....
Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa
Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika muda tukawa tunaishi mbalimbali japokua ilikua tunakutana kwa mimi kusafiri kumfuata
Mwaka mmoja tu baada ya mahusiano kuanza alibadilika akawa anasema tuachane,anachukia wanaume,na mambo mengi ambayo badae akikaa anaomba msamaha unamsamehe anaendelea....alikuja kufanya jambo kubwa na la aibu ambalo alinificha lakini badae nilikuja kujua nikawa msaada wake mkubwa sana na akaahidi kunipenda kwa sababu kupitia tukio lile alisema aligundua kwamba nnampenda sana ukapita muda mambo yakawa hayaeleweki;ikawa inatokea unampigia sim hapokei text hajibu then ikitokea kapokea anajibu hovyo na anakua mpole na romantic akipata shida tu
To be honest nimemsaidia sana kwa mahaba yangu binafsi na si kitu kingine na nimemgharamia sana binti yule
Na kwa muda huu nimesafiri kuja kumuona lakini anatoa excuse nyingiii mno na mpaka muda huu nimemuona mara moja tu tena kwa dk zisizozidi tano na kwenye alikua anakuja kuchukua vitu nilivyomletea
Mbaya zaidi amekua akichat na watu wengi na tofauti sana akichat nao kwa mahaba sana hadi kufikia kupanga mahala pa kuonana na ukiona ukamuuliza ana kasirika anadai hao ni watu wake nisimuingilie kwa sababu yeye haingilii wangu na mpaka sasa nikawa nimeamuamuru achague watu wake au mimi amekaa kimya hataki kusema

Najua anafanya hivi yote haya kwa sababu anajua anapendwa sana na moyo wangu nevertheless isingekua kwa kiburi hicho
Naombeni ushauri nifanyeje kwa sababu nnampenda sana kutoka moyoni na nikitazama kumuacha nahisi kama kuna kitu kinapungua hivi
Naombeni ushauri
50f23f44df294be1aa515b423f402d5b.jpeg
 
Wewe Ni Kweli Unampenda Ila Tambua Yeye HAKUPENDI KWA HERUFI KUBWA. Kama Hutaki Kuukubali Ukweli Huu Na Kuuchukulia Hatua Sio Vibaya Ukiendelea Kusubilia Ndege Kituo Cha Basi Ubungo.
 
Alipoteza password za account yake ndio nikawa nimemsaidia kuipata then nikakutana na mambo hayo
Hao watu anaochat nao umewaonaje na wewe umeonana nae mara moja tena kwa dakika zisizozidi tano
 
Asantee
Najua unamuogopa kumuacha,

As being alone without her campany scares you

But trust me you will get someone again

Who loves you and enjoy being in love again

Let her go
 
Wewe Ni Kweli Unampenda Ila Tambua Yeye HAKUPENDI KWA HERUFI KUBWA. Kama Hutaki Kuukubali Ukweli Huu Na Kuuchukulia Hatua Sio Vibaya Ukiendelea Kusubilia Ndege Kituo Cha Basi Ubungo.
Asante Boss ingawa ushauri ni mkavu kweli
 
Ipo siku wewe itakutokea utaomba ushauri wa jambo la ajabu
Tambua hizi ni hisia na hisia hazizuiliki ni sawa na kuipenda timu fulani hata ikifungwa unaumia

Jitafakari
Nonsense kuna vitu sio lazima uombe ushauri.
 
Kuna rafiki angu wa karibu sana aliniambia hivi pia lakini nafikiri ni kwa sababu tu alikua hajafikwa na haya ninavyoongea muda huu yeye ni zaidi ya mimi

Don try to enter in a wrong place na ukawa unaipenda

Tafakari
Hivi huu upuuzi ni wa kuomba ushauri??? huu ni ushamba wa pussy na huyo demu kajua wewe ni zobaa na unampendaa... So acha ufala..
 
Salaam....
Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa
Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika muda tukawa tunaishi mbalimbali japokua ilikua tunakutana kwa mimi kusafiri kumfuata
Mwaka mmoja tu baada ya mahusiano kuanza alibadilika akawa anasema tuachane,anachukia wanaume,na mambo mengi ambayo badae akikaa anaomba msamaha unamsamehe anaendelea....alikuja kufanya jambo kubwa na la aibu ambalo alinificha lakini badae nilikuja kujua nikawa msaada wake mkubwa sana na akaahidi kunipenda kwa sababu kupitia tukio lile alisema aligundua kwamba nnampenda sana ukapita muda mambo yakawa hayaeleweki;ikawa inatokea unampigia sim hapokei text hajibu then ikitokea kapokea anajibu hovyo na anakua mpole na romantic akipata shida tu
To be honest nimemsaidia sana kwa mahaba yangu binafsi na si kitu kingine na nimemgharamia sana binti yule
Na kwa muda huu nimesafiri kuja kumuona lakini anatoa excuse nyingiii mno na mpaka muda huu nimemuona mara moja tu tena kwa dk zisizozidi tano na kwenye alikua anakuja kuchukua vitu nilivyomletea
Mbaya zaidi amekua akichat na watu wengi na tofauti sana akichat nao kwa mahaba sana hadi kufikia kupanga mahala pa kuonana na ukiona ukamuuliza ana kasirika anadai hao ni watu wake nisimuingilie kwa sababu yeye haingilii wangu na mpaka sasa nikawa nimeamuamuru achague watu wake au mimi amekaa kimya hataki kusema

Najua anafanya hivi yote haya kwa sababu anajua anapendwa sana na moyo wangu nevertheless isingekua kwa kiburi hicho
Naombeni ushauri nifanyeje kwa sababu nnampenda sana kutoka moyoni na nikitazama kumuacha nahisi kama kuna kitu kinapungua hivi
Naombeni ushauri View attachment 1163979
unakwama wapi kumuacha?

Jambo la aibu alilofanya ni lipi?
 
Mkuu huyo achana nae, songa mbele
Ila keep in mind HUTOKUJA PATA DEM AMBAYE MTAPENDANA. Love haijawai kua reciprocity process hata kdogo. Vivid example hii yapo dem unampenda ila kwake haupo. Na utakuja pata dem anakupenda ila kwako hayumo
 
Umri wako ni miaka mingapi?

Maana Mambo Kama haya huwa yanatokea wakati wa balehe.
 
Kingine madem huwa hawapendi "ETI WANAFUNDISHWA KUPENDA" 😂😂😂
Dah wanaume tunakaz
 
Mkuu huyo achana nae, songa mbele
Ila keep in mind HUTOKUJA PATA DEM AMBAYE MTAPENDANA. Love haijawai kua reprocity process hata kdogo. Vivid example hii yapo dem unampenda ila kwake haupo. Na utakuja pata dem anakupenda ila kwako hayumo
Haina tatz Boss
 
Back
Top Bottom