Tafadhali msitupangie namna ya kuomboleza

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
16,298
Reaction score
22,949
Kwenu waheshomiwa

Naona mikwara ya viroja inaendelea juu ya wale wanaomboleza visivyo wapendeza wenye mamlaka bandia.
Wengine wanatoka maandiko, wengine wanatishia kufungia mitandao na ujinga mwingi.

Huku ni kuingilia uhuru wa watu Tena bila sababu za msinhi! Unawezaje kumpangia mtu namna ya kuomboleza

Itakumbukwa pia kwamba Kila jamii Ina namna yake ya kuomboleza.

Ni juzi tu hapa tuliwapoteza ndugu, jamaa na marafiki zetu baada ya uchaguzi hatukuwasikia hata mkitoa pole, badala yake mlipongezana.

Mmeshindwa kutwambia hata walikufa wangapi na mliwazika wapi?
Tuliwaomba hata mtupe miili tukaizike kwa staha za Mila na desturi zetu mkakataa

Mzee kibao alinyakuliwa kwenye basi mchana kweupe na waliomnyakuwa wanajulikana . Japo machawa waliibuka na kusema ati Mnyika anahusika ?

Wengine waliishia kusema (kifo ni kifo tu) bila kuchukua hatua zozote
Leo kimewakumba nn Hadi mwataka tuomnoleze pamoja?

Sie tulipoomboleza mauji ya kinyama mliyowafanyia ndugu. Jamaa na majirani zetu mlikuwa mnakunywa MVINYO kwenye bar za Ngerengere mlifikir hayawahisu.

Tunasema tusipangiane namna ya kuomboleza na Waombolezaji siyo Wajinga
Mkome
 
Kwenu waheshomiwa
Naona mikwara ya viroja inaendelea juu ya wale wanaomboleza visivyo wapendeza wenye mamlaka bandia.
Wengine wanatoka maandiko, wengine wanatishia kufungia mitandao na ujinga mwingi.
Huku ni kuingilia uhuru wa watu Tena bila sababu za msinhi!
Unawezaje kumpangia mtu namna ya kuomboleza
Itakumbukwa pia kwamba Kila jamii Ina namna yake ya kuomboleza.
Ni juzi tu hapa tuliwapoteza ndugu, jamaa na marafiki zetu baada ya uchaguzi hatukuwasikia hata mkitoa pole, badala yake mlipongezana.
Mmeshindwa kutwambia hata walikufa wangapi na mliwazika wapi?
Tuliwaomba hata mtupe miili tukaizike kwa staha za Mila na desturi zetu mkakataa
Mzee kibao alinyakuliwa kwenye basi mchana kweupe na waliomnyakuwa wanajulikana . Japo machawa waliibuka na kusema ati Mnyika anahusika ?
Wengine waliishia kusema (kifo ni kifo tu) bila kuchukua hatua zozote
Leo kimewakumba nn Hadi mwataka tuomnoleze pamoja?
Sie tulipoombolezq mauji ya kinyama mliyowafanyia ndugu. Jamaa na majirani zetu mlikuwa mnakunywa MVINYO kwenye bar za Ngerengere mlifikir hayawahisu.
Tunasema tusipangiane namna ya kuomboleza na Waombolezaji siyo Wajinga
Mkome
hivi gentleman,
yale magroup yenu ya kushangilia vifo vya waTanzania wenzenu wanao aga dunia kwa kwa namna mbalimbali bado yapo?

na yule mbibi wa nairobi bado anawalipa kweli?

na wewe bado ndio chief admn au walikupiga chini?:1Head:
 
Back
Top Bottom