halikela82
Senior Member
- May 14, 2013
- 187
- 18
kama sio kuchekesha basi unasikitisha!!! sasa unataka tukusaidie nini? kukutongozea? kuzibua mdomo wako ili uweze kutongoza? kukupa mashairi ya kughani kwa huyo mdada? tukupe pesa ukahonge? au unataka msaada wa nini? khaaaa....dunia ina maajabu!
Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA
Naona umemzimia na kumhusudu huyo mdada na mbona umeliwekea kizingiti sana suala la yeye kuwa kaachika kwani waloachika hawana roho au hawapaswi kupendwa?nakushauri kabla hujamzukia uchunguze sababu gani zimefanya aachike!Hao watoto watatu amezaa na mwanaume mmoja au kila mtoto na babaake?Na kama kila kitu kipo safi ww fuata moyo wako bro!Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA
Hizi lugha zenu za vifupisho hizi ukimaliza kusoma thread mtu unashindwa kushauri maana nguvu zote za kike na za kiume zinaisha