Nina laptop yangu aina ya toshiba imekufa keyboad. Kuna batan kama 7 tu ndio zinafanya kazi, kwa sasa natumia externa keyboard but inaniboa coz nahic napoteza maana hals ya laptop yangu. So kama zinauzwa ni bei gani and where can get it.