tafadhali jamani, natafuta rafike wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tafadhali jamani, natafuta rafike wa kike

Discussion in 'Love Connect' started by kalisto, Aug 1, 2011.

1. k

kalisto Member

#1
Aug 1, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mimi ni mgen katika safu hii.
natafuta rafiki wa kike anayeweza kuwa mke hasaaa, kuanzia miaka 18-24. asiwe mnene wala si membamba, na sio mrefu na si mfupi.nina urefu wa 182cm.

2. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#2
Aug 1, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,757
Likes Received: 34
Trophy Points: 0
Mbona we hujataja umri wako? Alafu hujasema kama we ni mnene au mwembamba. Jipe promo jombaa! Hahahahaaaaa....... Kila la kheri bana!

3. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#3
Aug 1, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,442
Likes Received: 19,799
Trophy Points: 280
weka picha yako tafadhali.. wadada wengi hawapendi mbuzi kwenye ggunia

4. Preta

Preta JF-Expert Member

#4
Aug 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
wangekuwa wanafuata ushauri wako wangefanikiwa sana

5. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#5
Aug 1, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,442
Likes Received: 19,799
Trophy Points: 280
tatizo hawataki..

6. k

kalisto Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mimi sio bonge wala mwembamba. niko na saizi ya kati ila mim ni black African.

7. Sigma

Sigma JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Feb 26, 2011
Messages: 5,016
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
8. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

aseme na kazi yake. Wadada Tunaogopa kuchunwa

9. k

kalisto Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
unapendelea rafikia yako awe na kazi gani kwa mapendekezo yako?

10. Sigma

Sigma JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Feb 26, 2011
Messages: 5,016
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Acha ujuha,
utaacha ufundi cherahani kama akikuambia anapenda trafiki?

11. k

kalisto Member

#11
Aug 2, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Teh teh teee. Mkuu kazi kaenda mbali, kwahali hiyo nna tumashaka kwa na kazi kutokuwa na marafiki. Mweeeh.
Kweli mimi ni fundi cherehani.

12. k

kalisto Member

#12
Aug 2, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Teh teh teee. Mkuu kazi kaenda mbali, kwahali hiyo nnatumashaka kwa wasio na kazi kutokuwa na marafiki. Mweeeh. Kweli mimi ni fundi cherehani.

13. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#13
Aug 2, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

si ndio hapo.
Sijui kwanin watu wanakosa ujasiri wa kutaja kazi zao.

14. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#14
Aug 2, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

kazi yoyote lakini niijue. Hela ya juice after meal iwepo.
Mshiko wa outing at least once per month usikosekanee.........
Nataka mwenye residual income..lol.

15. k

kalisto Member

#15
Aug 2, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

dada,
tutafahamiana na kujua mengi.

16. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#16
Aug 3, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

hahahaha! Nakutania mwaya. Kila la heri katika msako wako.

17. k

kalisto Member

#17
Aug 3, 2011
Joined: Jul 29, 2011
Messages: 33
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wadadaeee nilisahau, na Husniyo na Ivuga hata kunikumbusha mawasiliano. haya hapa 0654-057730

Loading...