Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

tatizo la baadhi ya wanaharakati ni waharakia tumbo.
 
Jibu kwanza ya Deus,ni sawa na mvuta bangi akikamatwa hawezi kusema yule mvuta bangi mwingine ambaye bado hajakamatwa nae akamatwe kwanza nae ndipo atakapokamatwa
 
Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee
Una uhakika maneno ya dakika 10 yeye ataongea ndani ya saa 4
 
Lowassa ni mchafu tayari wala hachafuliwi tena; ashachafuliwa tangu kale miaka ya 2007...
 
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
Upo sawa,huyu ni mtu hatari sana sema watanzania tunapenda unafiki.Leo anawatete magaidi wa Uamsho bado watu wanamwamini!
 
Hivi Kimbamba hajakumbukwa kwenye hizi teuzi?
 
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali

Njaa inakuuma wewe, siyo bure.
 
Mtamtetea sana luwasa lakini yule ni mbwa hasafishiki. Mungu alitusikia kilio chetu mana angekuwa rais kila kitu kimeshauzwa na ofisi zote kujaza Wachaga kuanzi igp, cdf n.k

Boss kwani saa hizi hao uliowataja wanatokea wapi!?
 
NGO's nyingi saizi zinakufa. Dawa iliyobaki ni kujipendekeza kwa Ngosha ili upate teuzi...

Ebu fikiria "Jukwaa la Katiba" wanafanya nini kwa sasa?... Mirija ya ufadhili imekata, how can they survive?

Point
 
Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee

Chunga kauli zako! Hujafa hujaumbika
 
Nimefatilia kwa makini mahojiano ya kibamba clouds. Naskitika kuwa japo simkubali lowasa lakini huu uzi umepotoshwa kwa mujibu wa maelezo ya kibamba na mchakato mzima wa ufisadi. Kinachonishangaza watu kutoa mapovu kwa kitu hata kisichokuwepo.
 
Kwa hiyo utakubali lowassa ashitakiwe kama na wengine watashitakiwa? Hebu tuanze na Lowassa kwanza.
 
kipindi waliposign mkataba wa kusafirisha makinikia waziri mkuu alikuwa mh Frederick Sumaye. ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema. Wote mnao huko kwenu.
 
Ulitakiwa ukanushe kwamba Lowasa Fisadi hakushiriki kusainu mikataba ya Kitapeli? Siyo kutupa mifano mingine ya watu wengine. Hao nao watashughulikiwa kuvyao.
 
Huy
Huyo deus ni kichaa achana nae
 
Tafuteni dodoki la chuma....msafisheni tena na tena!hivi hawezi jitetea mwenyewe?kiherehere kinawasumbua tu!ajitokeze hadharani ajitetee mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…