Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Aliwahi kumhonga?Deus anataka ahongwe tena na Lowassa
Huyo ni mchumia tumbo mkuuHabari wana jf
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday mheshimiwa kibaba katolea mfano mh Lowassa kuwa wakati WA kipindi chake aliingia mkataba WA kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilio 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati WA Lowassa Tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan?
Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati WA lowassa Tu?
na magufuli kwa kweli alipaswa anyongwe na kutupiliwa mbali hata kikwete na mkapa kama ndio sera yakoNilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
ccm mkimsikia tu huyo masabuli yanawawasha
Mtamtetea sana luwasa lakini yule ni mbwa hasafishiki. Mungu alitusikia kilio chetu mana angekuwa rais kila kitu kimeshauzwa na ofisi zote kujaza Wachaga kuanzi igp, cdf n.kHabari wana JF,
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Wewe ulitanguliza nini wakati Ukawa wakitaka mikataba yote iwasilishwe bungeni, mbona uliwazomea ukidai haiwezekani siri za serikali ziwekwe hadharani! Wewe naye!Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali