M MZAWATA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 556 Reaction score 96 Feb 19, 2012 #1 Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie maisha ktk hili.
Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie maisha ktk hili.