Naomba ufafanuzi kuhusu jambo hili la Tanzania Employment Services Agency (TAESA)

abutwalib

Senior Member
Feb 9, 2016
163
83
Habar wana jamvi...

Nina jambo naomba kujuzwa kuhusiana na TAESA, TAESA wana kazi ya kutafutia watu ajira ila kuna ishu nimesikia kuwa nayo wanafanya ya kuwatafutia watu intership je hili swala lina ukweli ndani yake?

Na kama lina ukweli je hizo internship zinadumu kwa muda gani?
Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua hili kwa mapana.

ASANTEN
 
Kuuliza sio ujinga ya wezekana una just zaidi jibu swali sio kutoa majibu ya abwanasi
tupo umu kujifunza sio kuonyeshana u fahari was kujua kila kitu
Hakuna ufahari nilioonyesha hata kidogo bali nimeelekeza sehemu ambayo anaweza kupata majibu ya uhakika.

Kama unaweza kuingia jf maana yake una Internet bundle hizohizo unaweza ukazitumia kuingia kwenye Web yao na ukapata majibu sahihi. Au kama mtu anataka kuonekana kafungua uzi basi sawa.

Sina ufahari wowote ndugu nami nilikuwa namsaidia the best way ya kupata majibu.
Wewe unafikiri kwanini Contacts huwekwa?
 
Ingia kwenye tovuti yao. Nenda kwenye Contacts then chukua mawasiliano yao ongea nao.
Website yao haifunguki ndo maana nkaja hapa kuuuliza sio kama sikufaham hilo...
Kama unajua tafadhali naomba unijuze juu ya maswali yangu
 
Website yao haifunguki ndo maana nkaja hapa kuuuliza sio kama sikufaham hilo...
Kama unajua tafadhali naomba unijuze juu ya maswali yangu
Ok.
Binafsi nimewahi kuhudumiwa na TAESA lakini si kwa suala la internship na hilo silifahamu.
Mie kwenye suala la ajira kuna kipindi cha mwaka 2014 baada ya kumaliza mkataba na kampuni fulani nilienda TAESA kwaajili ya kunisaidia kutafuta ajira. Nilijaza document zote muhimu na kuacha CV pamoja na copy za vyeti vyangu.

Pia walitufanyia training ya Kuandika CV nzuri, Kuandika barua nzuri, namna ya ku behave kwenye interview nk. Baada ya hapo nakumbuka niliitwa kama mara 2 hivi na TAESA kwenda kufanya interview sehemu tofauti but kipindi hicho nikawa nimepata kazi ambayo nilikuwa naitafuta.
 
Asante sana kwa ushirikiano wako mkuu
Ok.
Binafsi nimewahi kuhudumiwa na TAESA lakini si kwa suala la internship na hilo silifahamu.
Mie kwenye suala la ajira kuna kipindi cha mwaka 2014 baada ya kumaliza mkataba na kampuni fulani nilienda TAESA kwaajili ya kunisaidia kutafuta ajira. Nilijaza document zote muhimu na kuacha CV pamoja na copy za vyeti vyangu. Pia walitufanyia training ya Kuandika CV nzuri, Kuandika barua nzuri, namna ya ku behave kwenye interview nk. Baada ya hapo nakumbuka niliitwa kama mara 2 hivi na TAESA kwenda kufanya interview sehemu tofauti but kipindi hicho nikawa nimepata kazi ambayo nilikuwa naitafuta.
 
Ingia kwenye tovuti yao. Nenda kwenye Contacts then chukua mawasiliano yao ongea nao.
ni jibu sahihi kbs ndugu. Mtoa post ili apate maelezo sahihi kuhusu taesa itabidi aingie ktk website yao achukue namba awapigie ama km kuna page ya "about us" basi aiangalie vizuri hiyo page itakua na maelezo yaliykamilika kuhusu wao
 
Wameenda TAESA au?
Naomba ufafanuzi ndugu juu ya hili nataka kuelewa ndugu
 
Watu wameenda tangia May 25 kufanya interview za intership na ajira kama zikipatikana
Walienda na Cv na original copy
 
Waliokuwa wanahitajika ni graduates wa mwaka 2017 na 2018 wenye g.pa kuanzia 3.5 ndo wametaftiwa kazi na internship inategemea na utakayobahatika nayo.

Lakini zaidi ya yote wewe nenda na vyeti vyako original na cv ukajiandikishe ikija kutokea kazi watakujulisha
 
Asante sana ndugu haya ndo moja ya mafafanuzi niliyokuwa nayataka juu ya hizo internship na sio kujisajili kama wengine wanavyo bwabwaja hapa
 
Asante sana ndugu haya ndo moja ya mafafanuzi niliyokuwa nayataka juu ya hizo internship na sio kujisajili kama wengine wanavyo bwabwaja hapa
Hata hiyo ya kujisajili usiidharau ndugu.
Kuna rafiki yangu alipata kazi bandarini mwaka jana kwa njia hiyo ya kujisajili.
Mimi mwenyewe nilipigiwa simu mara kadhaa za kuitiwa kazi kupitia hao Taesa ila nilikuwa nakataa mwenyewe kwa vile nilikuwa na kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom