Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,280
- 2,000
Mwanamuziki Mkongwe wa miondoko ya Rumba barani Afrika kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, aliyefariki dunia Novemba 30 mjini Brussels, Ubelgiji, Tabu Ley anatarajiwa kuzikwa leo alasiri katika eneo la Nsele lililopo nje kidogo ya jiji la Kinshasa.