Tabora,ni wageni kweli au wazinzi?.

Tabora,ni wageni kweli au wazinzi?.

Kuyelayela

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Wanajamvi,leo nilitoka dar kuja tabora na basi la nbs ambalo lilichelewa kufika.Hivyo kwa sisi wageni ilitulazimu kutafuta nyumba za wageni.Nimezunguka karibu mji mzima ukiuliza zimejaa.Kwenye vitabu vyao ni.Tabora to tabora.
 
umezunguka nyumba ngapi? kuna Nyumba ngapi za kulala wageni na zenye ukubwa gani ukilinganisha na idadi ya wageni wanaoingia mjini? pengine nyumba ziko chache!
pole sana, siku nyingine ubebe tent kuepusha hiyo hadha!😛oa
 
duuu!! siku hizi ngono tupu kila kona!
 
Labda alitafuta nyumba za bei poa ambako watu na wenzao wa bei poa wanahudumina.
 
Umezidi utembezi kama jina lako:focus: Vyuo vya uhazili na wakazi wanasababisha kukosekana kwa vyumba ha hahhahha
 
Hii ni kweli kabisa, wana JF hata mimi nilipata shida sana hasa kipindi hiki wanafunzi wa chuo cha uhazili walipofungua chuo... dada zetu wa uhazili mjirekebishe sifa yenu imekuwa mbaya
 
Ungeenda kwa mkuu wa mkoa kuomba hifadhi
 
we ulijuaje ni tabora to tabora
kama ulikosa room ulionaje kitabu?
sababu hapo hukujiandikisha?


unauhakika na unachokisema?
au unataka kutujuza upo igunga?
 
Back
Top Bottom