Shika adabu yako
Wewe ndo umetukana unawezaje kulinganisha kwetu na ToraboraBadala ya kutukana, changia hoja Kama Kweli una uchungu NA Tabora
Wewe ndo umetukana unawezaje kulinganisha kwetu na Torabora
Tungepata hiyo makala, ungemuelewa mwandishi alikuwa ana maanisha nini, kwa taarifa yako hata mimi ni mwananzengo, kwa pamoja tuoendoe hii aibu ya Torabora
Wa kulaumiwa ni Wabunge wote wa Tabora na ujue zao LA Tumbaku ndio limefanya TB tuwe masikini wa kutupwa wazazi wakati wa kumwagilia mabedi (bedseeds) watoto hawaendi shule ni aibu sana .zao hili hovyo sana umasikini na ujinga umetamalaki home

Wabunge hakuna ndugu yangu nenda wakati wa campaign ndo utakua criteria zinazowapitisha amini nakwambia ukifika kijijini kwetu hali mbaya sana kijana anesifiwa kupata pesa ni yule alievuna tumbaku na akapata m.3 kwa mwaka na akitoa makato ya wagubi anabaki na m.2 hivi kwa mwaka akijenga nyumba ya bati ndo milionea huyo watoto wanalimishwa balaa shule ni kiangazi tu . hata walimu wako busy na tumbaku
Duu!!! Hii Tabora yetu ni balaa tupu.
Ila sasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni Mnyamwezi wa kwetu huku. Sijui atasaidia walau kidogo?
Sitta na Prof. Juma Kapuya ilikuwa ni SHEEDA Mwana Wane.
Ngoja nijilie tu wali wangu wa NSANSA aka RASTA.