Civilian Coin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 2,305 Reaction score 4,390 Sep 6, 2018 #1 Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,831 Sep 6, 2018 #2 Wamekufanya nini huko tabora jamaa
Civilian Coin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 2,305 Reaction score 4,390 Sep 7, 2018 Thread starter #3 Patrickn said: Wamekufanya nini huko tabora jamaa Click to expand... kubaya
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Sep 7, 2018 #4 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Hebu Jaribu jiji la Dodoma sasa
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Hebu Jaribu jiji la Dodoma sasa
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Sep 7, 2018 #5 Hebu tiririka mleta mada.
mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 446 Sep 7, 2018 #6 kisandu Jr!!...hivi Sr washamuachia huru?
haha JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 1,400 Reaction score 1,640 Sep 7, 2018 #7 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Ni ngome ya chama chetu japo kua inaongoza Kwa kuwa na vichaa wengi Sana wanao zurura mitaani
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Ni ngome ya chama chetu japo kua inaongoza Kwa kuwa na vichaa wengi Sana wanao zurura mitaani
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Sep 7, 2018 #8 Ila kuna wanawake wazur
haha JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 1,400 Reaction score 1,640 Sep 7, 2018 #9 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Ogopa sana maeneo ambayo Sisiem INA kubalika Kwa asilimia kubwa,huwa ni masikini WA elimu,makazi,maendeleo ,afya,nk
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Ogopa sana maeneo ambayo Sisiem INA kubalika Kwa asilimia kubwa,huwa ni masikini WA elimu,makazi,maendeleo ,afya,nk
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,755 Reaction score 25,597 Sep 7, 2018 #10 Jaribu singida
Septemba11 JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 620 Reaction score 535 Sep 7, 2018 #11 Tabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi? Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
Tabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi? Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,298 Reaction score 46,756 Sep 7, 2018 #12 Mikoa ya ccm hiyo
Mbavu mbili JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,457 Reaction score 874 Sep 7, 2018 #13 Daladala zao sasa, nilichoka day one!!!!
Kilwa94 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 2,727 Reaction score 3,139 Sep 7, 2018 #14 heradius12 said: Ila kuna wanawake wazur Click to expand... Wengi wao ni wabaya tofauti na wanavyo sifiwa.
heradius12 said: Ila kuna wanawake wazur Click to expand... Wengi wao ni wabaya tofauti na wanavyo sifiwa.
BestOfMyKind JF-Expert Member Joined Apr 26, 2012 Posts 1,348 Reaction score 1,466 Sep 7, 2018 #15 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Wanekufanya nini? Maanake wanyamwezi hawana dogo, ukijifanya unajua wanakupa za uso. Hawarembi.
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Wanekufanya nini? Maanake wanyamwezi hawana dogo, ukijifanya unajua wanakupa za uso. Hawarembi.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 7, 2018 #16 Duuuh!
PACHO HERRERA JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 460 Reaction score 529 Sep 7, 2018 #17 Kakosa za kununua huyu
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,700 Reaction score 32,457 Sep 7, 2018 #18 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Tabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii. Mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote hapa nchini. Hauna vichochoro kama Dar Hauna vumbi kama Dodoma au Shinyanga.
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Tabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii. Mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote hapa nchini. Hauna vichochoro kama Dar Hauna vumbi kama Dodoma au Shinyanga.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,988 Reaction score 5,503 Sep 7, 2018 #19 Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Kwa hiyo?
Kisandu junior said: Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana. Click to expand... Kwa hiyo?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 7, 2018 #20 Tabora kwa majungu na vijembe ndiyo wenyewe, halafu wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sana sema wana wivu kama wachina
Tabora kwa majungu na vijembe ndiyo wenyewe, halafu wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sana sema wana wivu kama wachina