KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora mjini wako katika maandalizi ya mkutano wa hadhara jirani na zilipo ofisi za ccm wilaya.Kuna tetesi kuwa mkutano huo lengo lake ni kujaribu kusafisha hali ya hewa, kufuatia mkutano cdm wa jana. tuko karibu kuwaupdate nini kitajiri katika mkutano huo.
There are currently 0 users browsing this thread. (0 members and 0 guests)
heheheee
hawa kina nnape na makamba si wameteuliwa wakaagizwa kuwa walete watu huku? sasa iweje wanashindwa kazi?
hivyo vitoto bado si havijaingia shule za kata n a kupigika huko? vikishaingia huko na kutoka ndio tutaanza kuvihesabia, au vikipigwa na foleni kwa mda ma masaa elfu ishiriniSasa hivi ni saa tano na nusu asbh, mkutano haujaanza viti vitupu. Mafuso yamepotea ghafla hapa mjini cjui yako wapi. Kinachoendelea ni burudani za muziki wa disco na vikundi vya ngoma asili. watoto ndio wapo wanakata viuno vya kufa mtu.Taifa la kesho linaridhishwa muziki na ccm.
Sasa hivi ni saa tano na nusu asbh, mkutano haujaanza viti vitupu. Mafuso yamepotea ghafla hapa mjini cjui yako wapi. Kinachoendelea ni burudani za muziki wa disco na vikundi vya ngoma asili. watoto ndio wapo wanakata viuno vya kufa mtu.Taifa la kesho linaridhishwa muziki na ccm.