Moja kati ya mnyama nnaemtumia sana nikitoka zangu kucheza na mtoto wa mama matesha kulee boma
By the way pole kwa majeruhi
Ni kweli, tunawakumbusha madereva kuwa makini kwa nyakati zote..!Poleni majeruhi, madereva tuongeze umakini zaidi sasa hivi kuna mvua mvua hapa kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama wote waendao MWZ ,BKB, KHM na KGMAnajulikana pia kama mfalme wa rough road, leo amelala...Hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Farasi mweupe huyo..Kiboko yao..Majeruhi wapone kwa haraka, ameen.Musoma arusha hana mpinzani...
Hivi inakuawaje miaka yote hiyo baada ya uhuru inakuwaje bado tunasikia habari za barabara za vumbi?
Hivi inakuawaje miaka yote hiyo baada ya uhuru inakuwaje bado tunasikia habari za barabara za vumbi? Halafu hilo jina la kampuni mbona haliendani na route yake- coast wakati route yake ipo inland.